Katibu mkuu TAMISEMI: Tueleze ni lini hizi ajira zinatangazwa au politics imeingia hapa?

king of the North

Senior Member
Jul 26, 2016
102
55
Wakuu habari
Ikiwa imepita miezi miwili tangu Halmashauri zipewe kibali cha kuajiri WAHASIBU WASAIDIZI IDARA YA AFYA NA Halmashauri zikafanya Ivyo.

Mpaka sasa HALMASHAURI AZIJAJUA AWA WAHUSIKA LINI WATA ANZA KUWAJIBIKA.

Kupitia Jamii Forum,Tunakuomba Mh.katibu,Waziri husika tupe Hali Halisi kuhusu hizi ajira.

TAMISEMI.jpg
 
Wanalipwa si ni watumishi wa serikali wanalipwa na mwajiri wao na siyo TAMISEMI na kama yupo aliyepangwa TAMISEMI atalipwa na tamisemi wameajiriwa 2058 kati ya 3,000 zilizotangazwa kada za afya
 
Sorry tulipata wahasibu wasaidizi 4 kama hitaji letu lilivyokuwa na walishaanza kazi huu mwezi wa 3 wanalipwa na mwajiri wao mkurugenzi
Nilichanganya na ajira za kada za afya...usingizi tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom