Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Mawaziri wakuu wastaafu, Sumaye, Msuya na Lowassa
Aliyekuwa waziri wa Ulinzi Prof Sarungi na Balozi Job Lusinde aliyekuwa waziri Baraza la Mawaziri la kwanza la Tanganyika
Historia ya Tanzania haiwezi kamilika bila kumtaja Sir George Kahama Alikuwa mkombozi wa nchi yetu.
Jaji Warioba: Mara ya kwanza kumuona Mzee Kahama ilikuwa mwaka 1962. Alikua mchapakazi kweli.
Mzee Mwinyi: Tunahuzunika kumkosa ndugu na rafiki yetu. Msiba wa Mzee Kahama utukumbushe sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea sote.