Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muda wa mashamba kurudi kwa wazungu umewadia Zimbabwe!! Nadhani kila mmoja ni shahidi pale wana Walibya walipomuondoa Ghaddafi kwa mbwembwe now wanajuta walichokifanya. Ukiangalia kwa upande wa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ? Nina swali moja nataka kushare nanyi. Kwa mtu anaetaka kuwa nondo kwenye field fulani? Kipi bora ? Kusoma masters na kufanya PHD kabisa ? Au kusoma...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, abiria ambao ilikuwa wa safari na ndege ya kampuni ya fastjet flight number FN0154 saa sita kasoro robo (11:45) wameshindwa kuondoka kwa wakati. Hivyo safari yao...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Hivi huu mchezo wachezaji wake ni matajiri sna? Kwa sababu wanapopewa taarifa ya kushinda huo wapo kawaida sna, yaani mtu ameambiwa umeshinda 20m anasema asante basi hakuna shamrashamra yoyote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika? Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo? Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
All around the world watu wamepanda mzuka Wa kuangusha viongozi wao na/au kujitenga. Refer Libya, sasa hivi Haiti na Zimbabwe watu wameliamsha dude!
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Kama kisemavyo kichwa cha habari, Nahisi kuna mgao wa kimya kimya, hivi waziri si alitumbua watu, inamaana wamemgomea ama? Enzi za Muhongo tulisahau kabisa hii adha.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika nchi nyingine Duniani, Matajiri na Wasomi mfn.Maprofesa wamekuwa wakisaidia wanafunzi fees katika masomo yao hasa Higher learning (Bachelor, Masters mpaka PHD) lakini hapa kwetu hata kama...
0 Reactions
4 Replies
870 Views
Of koz hapo mwanzo kidogo nauli poa sana. Lakini naona ghafla bin vuu nauli imepanda kwa average ya sh 5000 kwa kila route hasa zilizokua zinaanzia na sh 7000 na kuendelea. Mimi nikiwa kati ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi nina uwezo wa kugundua kitakachotokea kesho kugundua mambo mengi Kwa kutumia macho tu lakini sijui nitayatumia wapi.Nipeni ushauri kihekima.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Najaribu tu kuangalia maeneo ambayo wawili hawa wanafanana na yale ambayo hawafanani. Kisha nitaangalia " timing" ya kuibuka kwao, je kuna mlingano wowote wa namna walivyoibuka? Mwisho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba tuelimishane juu ya kuwekwa jela..je una experience nini? Je unalala pekeyako kwenye chumba chako? Je unapewa nafasi ya kuoga na kufua nguo zako ? Je chakula mnapewa kwa haki...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ipo kampuni ya usafirishaji gari zake zimeandikwa Clinton clearing &FORWARD. Napenda kujuzwa,je,mmiliki wake ni yule aliyepata kuwa Rais wa USA,au? Nitashukuru kwa jawabu.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete ameshindwa kuchomoza katika mashindano ya Miss World yaliyomalizika usiku wa leo huko Sanya China. Hapo akiwa haamini aliposikia jina...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Mkuu wa wilaya ya Kigoma Samson Anga ameamuru kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa Afisa Mfawidhi kitengo cha usimamizi na udhibiti uvuvi Ziwa Tanganyika Rodrick Mahimbali pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nabishana na wafanyakazi wa Serikali nikawambia katika utawala huu wasitegemee kuongezewa kiasi chochote cha mshahara zaidi zaidi wategemee uliopo kupunguzwa. Bahati mbaya sana...
14 Reactions
49 Replies
6K Views
Kuna mkubwa au kiongozi wa wachawi ndani ya kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kigoma amefariki na kabla ya kufariki alitoa maagizo kwa ndugu na jamaa zake kuwa siku akifariki basi wachukue mwili wake...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Mkazi wa kata ya ya Ruvuma wilayani Songea mkoani Ruvuma Bw.Ally Milanzi mwenye miaka 47 ametelekezwa na ndugu zake baada ya kupata ulemavu huku akiwa ametokwa na vidonda kama vya kuungua na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Baada ya kutafakari yanayoendelea kwenye nchi yetu Tanzania nimeona ni vema nikusalimu RAIS wetu mstaafu JMK. Kwanza kabisa shikamoo MHESHIMIWA, naamini unaendelea Vema na...
19 Reactions
74 Replies
8K Views
Back
Top Bottom