Hivi TANESCO mna matatzo gani? muwe mnatoa taarifa ni huduma gan hii ya ajabu!
Yaani ni sawa niende dukani kununua sukari halafu mangi anipangie kilo za kuchkua au ninunue halafu aninyang'anye...
Siku mbili zikiwa zimepita tangu Dk Louis Shika kuelezea siku 28 za mateso aliyoyapata nchini Urusi, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini humo wakati huo, Patrick Chokala amefichua siri jinsi...
Maalum kwa waislam tu,
Assalam aleikum, kwa mujibu wa dini yangu Riba ni kharam, na mwenye kula riba anakua ametangaza vita na Allah ( SW) nimesha iambia Benki yangu wasiniwekee Riba kabisa na...
Wa jamvini habarini jaman naomba kuuliza hivi taratibu za mama mjamzito zimebadilika nasikia siku hizi wanatakiwa kwenda na khanga mpya kwa ajili ya mtoto pekee zisipungue pair 5 pempams...
Narudia tena kwa msisitizo kwa kusema kwamba Njia Panda ya Coca Cola Media mwambieni Mrembo mwanya ' aachie ' tu yote haya yataisha kwani hizi hasira anazisababisha Yeye kwa kula Pesa za Watu huku...
Kwa miaka zaidi ya mitatu nimekuwa nikikutana na kakikundi ka watoto wadogo kwenye maharusi na kumbi mbali mbali hapa Dar wakijitambulisha kama yatima na uanza kutumbuiza na kutuzwa.
Tatizo liko...
Kwa meneja wa TANROAD DSM, sisi wakazi wa kuanzia mbezi mwisho kwa Yusufu mpaka mpigi magoe tunapata shida sana kwenye hii barabara. Barabara ni mbovu kiasi kwamba tunahangaika sana kupata...
Wengi hawakifahamu chama hiki cha wafanyakazi kinacho deal na maslahi ya wafanyakazi nishati na madini, hakika kimefanya mengi, stay tune I'll let u know what is going to happen!
Ndg mwalimu, pamoja na utendaji kazi wako mzuri uliotukuka, hakikisha unapokuwa kazini na nje ya kazini hakikisha unajua mambo yafuatayo muhimu, maana ipo siku utaulizwa utabaki unavunja vidole...
Habari wanajamvi...
Naona ndugu Elizabeth Michael maharufu kama Lulu katika video za Youtube akipelekwa gerezani baada ya hukumu akiwa hajafungwa hata kamba mikononi...
Je hii ni sawa au...
WADAU naomba tujaribu kujikita kwenye mada tajwa hapo juu kwani nimemsikia Waziri Wa Ardhi Mh. Lukuvi sikuamini Bunge kuwa Wizara yake inatunga Sheria ya kuwataka wenye nyumba wachukue kodi ya...
Habarini wana Jf kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba msaada kwenu naamini nitasaidika nipo katika hali ngumu sana
Mwenye shilingi elf 5 tu naomba anisaidie nitamrudishia mwiisho wa mwezi...
Kitambo sana hakuna huduma za mipango miji, upimaji na utoaji hati manispaa ya Ubungo. Kila ukienda pale unaambiwa bado bado kisa hawana ofisi baada ya kutimuliwa kinondoni (walibakia pale baada...
Hi great thinkers!
Kama thread inavyosema mwaka 2015 kuna MTU ninae Fanya nae kazi kama mkubwa wangu baada ya kumshinda nguvu Kwa hoja katika mgogoro fulani akaanza harakati kuniharibia kazi...
Jana nilikuwa naangalia TV Star TV channel kulikuwa na mahojiano mubashara mwanahabari akimhoji Afisa wa Polisi.
Mwanahabari alimuuliza swali Afisa kwa nini Polisi haijaweka ukurasa wake Official...
Ili kupungu za vifo vinavyotokana na uhalifu nchini, Jeshi la Polisi limesema litawalinda wahalifu wanaokamatwa na kuuwawa na wananchi ambao wanajichukulia sheria mkononi.
Hatua hiyo ya Jeshi la...
Nilistaajabu sana baadha ya kufika maeneo ya Mwika Madukani na kuelezwa ya kuwa baadhi ya shule za serikali za msingi zimekosa wanafunzi kwa mwaka wa pili mfululizo yaani nikimaanisha "hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.