Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,758
- 6,087
Habari Wakuu,
Kutokana na maisha kuwa na mambo mengi imefikia hatua nahisi haya masaa 24 tuliyopewa na Mungu ni kama hayatoshi.
Nikijaribu kuyagawa kwenye ratiba yangu ya siku nahisi kuna vitu sivifanyi kwa ufasaha.
Mfano. Kwenye hayo masaa 24 natakiwa:-
• Nifanye kazi masaa 12.(day)
• Nifanye kazi masaa 3.(usiku)
• Niingie kwenye mitandao ya kijamii.
• Nisome Vitabu.
• Nifanye mazoezi.
• Nisali na kusoma biblia.
• Nitembelee ndugu
• Nipike.
•Nicheze game.
•Nitazame Movie.
•Kulala.
• Usafi. n.k
Yote hayo inatakiwa niyafanye ndani ya masaa 24. Inanipa changamoto sana Ku manage muda wangu vizuri.
Huwa najikuta nimeegemea sehemu moja zaidi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Na mengine kutoyafanya kabisa.
Je, wewe unatumia mbinu gani kudhibiti muda wako vizuri?
Hii haitokuwa msaada kwangu tu. Najua kuna vijana wengine kama Mimi wanashindwa ku-manage muda ipasavyo.