Tanesco kwanini mnakata umeme hovyo bila taarifa?

Tanesco kwanini mnakata umeme hovyo bila taarifa?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Hivi TANESCO mna matatzo gani? muwe mnatoa taarifa ni huduma gan hii ya ajabu!

Yaani ni sawa niende dukani kununua sukari halafu mangi anipangie kilo za kuchkua au ninunue halafu aninyang'anye tena.

Hawa inabidi tuanze kuwafungulia mashtaka sasa mahakamani.. Haki za mteja zizingatiwe. Alaa!
 
Back
Top Bottom