Msaada ndugu zanguni,matatizo makubwa yamenipata nisaidieni

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
Ndugu zangu wanajamvi.
Mimi hapa nlipo matatizo.makubwa sana yamenipata naandika uzi huu nikiwa na haraka kidogo ila nimechanganyikiwa naombeni mnisaidie nipo hospitali kwa sasa ila hata mwenye milioni moja anitumie sidhani kama kwa hali niliyonayo sasa siwezi kueleza kwa undani ila naahidi ntarudi hapa kuelezea ntakapomaliza mayatizo haya tzfadhal sana najua huu ni mtihani mkubxwa kwangu ila msaada wenu nduo uhai wangu.nadhani sio vyema kusubir mimi nife ndio msiktike nawaomba Tafadhali naangamia mwenzen maisha ni kuszidiana leo kwangu kesho kwenu.naomba mniamini tatizo langu nitaelzea hapo baadae ila wengi humu wananijua sijawah kumtapeli mtu Niokoeni Tafadhali.
Yoyte mwenye nia ya kunisaidia kuweka nzmba hadhran siwez ila anaweza kunifata PM au kucomment nimfate PM tafadhak mniokoe ndugu yenye naangamia huku najiona elfu moja inaweza kuwa ndoho ila itanidaidia mno please

nataka nichezee biko😁😁
 
Sasa usaidiwe hela hata hiyo 1000/= kama mtu anakutumia atakutumia kwenye account ya Dr. Shika!?

Acha papara kama Kweli unahitaji msaada.

Omba hata , mgonjwa aliye na nafuu akuandikie Uzi wenye mashiko ila Uzi wa hivi labda watu wa home kwako ndiyo watahusika kutoa msaada.
 
Mi sikufuchi mkuu yani umebugi jinsi ulivyojieleza.
Yani mtu akusaidie bila kujua tatizo kweli?
Kwa ushauri wangu ungefunguka tu sisi wote tunahisia tutaguswa tu.
Yani ulivyojieleza umeharibu
 
Una muda wa kutoa namba PM lakini hauwezi kugusia tatizo mkuu? Utafanya watu wasikuamini
 
Weka namba ya simu nkurushie fasta elf moja!elf moja naye ni ela ya kulia kulia kutakaa kujua tatizo!?as long kasema atatueleza baadae!
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Mimi hapa nlipo matatizo.makubwa sana yamenipata naandika uzi huu nikiwa na haraka kidogo ila nimechanganyikiwa naombeni mnisaidie nipo hospitali kwa sasa ila hata mwenye elfu moja anitumie sidhani kama kwa hali niliyonayo sasa siwezi kueleza kwa undani ila naahidi ntarudi hapa kuelezea ntakapomaliza mayatizo haya tzfadhal sana najua huu ni mtihani mkubxwa kwangu ila msaada wenu nduo uhai wangu.nadhani sio vyema kusubir mimi nife ndio msiktike nawaomba Tafadhali naangamia mwenzen maisha ni kuszidiana leo kwangu kesho kwenu.naomba mniamini tatizo langu nitaelzea hapo baadae ila wengi humu wananijua sijawah kumtapeli mtu Niokoeni Tafadhali.
Yoyte mwenye nia ya kunisaidia kuweka nzmba hadhran siwez ila anaweza kunifata PM au kucomment nimfate PM tafadhak mniokoe ndugu yenye naangamia huku najiona elfu moja inaweza kuwa ndoho ila itanidaidia mno please
Huku kwenye ulimwengu wetu wa ujasusi,kuna kitu kinaitwa social engineering,unatoa sababu,au unamfanya MTU ajisikie kukusaidia,kwa kuonyesha kwamba,hata yeye anaweza kupata shida ukamsaidia,
Hii kanuni,mataperi wanaitumia sana,
Kama kweli una shida,nyoosha maelezo
 
Back
Top Bottom