Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, Kesho nasafari ndefu kidigo ya kuvuka mipaka na ntatumia private yangu. Je, nitahitajika kusafiri na documents zipi ili kuvuka na gari out of my passport? Bahati mbaya card original ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau sisikii habari zozote za uchaguzi huu. Mbona hauna msisimko tuliouzoea kwenye chaguzi ndogo kama hizi?. Ni kimya kabisa. Watu wako bize na mambo mengine .
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Ndg zangu wanajamvi nimekuwa nikiota mara nyingi nakimbizwa na kundi la nyuki baada ya hapo nashtuka na kuamka. Ndoto hii ina maana gani. Asanteni sana
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana tulikuwa nao katika viwanja vya meisala ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za sherehe za mapinduzi. Wasanii wengine kutoka bara walioshiriki ni pamoja na Dogo janja na Sheta. Mapinduzi daima!
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii ni picha ya Wolves kuna kitu cha kujifunza hapa 1. Kundi la kwanza la Wolves ni wale ambao ni wazee na wagonjwa hawa hutangulizwa mbele katika jamii ya wolves kama ikitokea chochote waweze...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanini taasisi nyingi za serikali hazitumii efd kama wafanya biashara wanapotoa risiti? Mfano; unaweza kwenda idara ya maji, mtu ukalipia kila kitu lakini mwisho unapewa risiti ya kuandika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma. Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha...
13 Reactions
615 Replies
126K Views
Habari JF, Kufuatia kauli Tata ya raisi wa marekani juu ya kupokea wahamiaji toka kwenye nchi alizo ziita "shithole" countries kumekuwa na midahalo na maoni tofauti . Miongoni mwa uchambuzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wana JF. Leo Nimepata Wazo Nkaona niweze Ku share na nyinyi mnisaidie kushare pia mawazo, Nina pendekezo kuwa endapo sheria ya uchaguzi itafanyiwa marekebisho na kuweka...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali Haina Budi Kubana Biashara zote za Udalali; =Udalali Wa Nyumba Za Kupanga, =Udalali Wa Mazao Ya Mashamba, =Udalali Wa Madini; Nk. Hapa Mamilioni Ya Kodi Yanapotea Kwa Uholela Wa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbona hampatikani toka juzi, kwenye 87.9?
0 Reactions
39 Replies
11K Views
wale wanajiita mafia bongo cheki hii
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukisoma nadharia,aina na kazi za vyombo vya habari,kama magazeti ya Tanzania Daima,Mwanahalisi,na Mawio yangekuwepo hili suala la Lowasa kwenda Ikulu kuzungumza na Mh Rais John Magufuli lingekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa wana jf...Kwa wanaotumia barabara ya Bagamoyo....Kwenda Bagamoyo au Kutoka Bagamoyo kuja Dsm.....Njia imefungwa maeneo ya Mapinga---Kerege....kutokana ajali iliyotokea muda wa SAA 11..za...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es salaam : Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameagizwa kuundwa kwa kamati ya wataalamu kukagua kwa kina magari ya Jeshi la Polisi yaliyoingizwa nchini kutoka India baada ya...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Ni aibu kwa mamlaka inapojaribu kulazimisha misingi ya utendaji pasipo na kuhusisha wadau wake. Kuhusisha wadau ina maana ya kuweka mambo mezani kujadili kwa nguvu za hoja, kushawishi na kufikia...
1 Reactions
2 Replies
807 Views
Chato. Mvua kubwa iliyonyesha katika kijiji cha Mwekako kata ya Kasenga wilayani Chato mkoani Geita imesababisha vifo vya watoto wawili na kuharibu mali. Diwani wa Kata ya Kasenga, Damian Vilarie...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowassa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa TLS ni Team Lowassa, hivyo waongee wengine lkn siyo...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Asilimia 90 ya wanafunzi wanasomea mitihani na sio kusoma na kukuza uelewa... Unakuta mwanafunzi wa form 4, hata kujieleza kwa kiswahili anashindwa, Kwenye R anaweka L....Msije mkasema eti ni...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom