Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za jioni wanabodi. Ni utaratibu uliokithiri kwenye jamii nyingi bila kuangalia dini zao ama makabila yao, unakuta kwenye msiba mtu amefariki anazikwa na suti,vito vya thamani kama cheni...
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Rais John Magufuli amemteua Katibu Mkuu wa zamani, Dk. Willibrod Slaa kuwa balozi. Taarifa za iliyotolewa jana na Ikulu ilisema Dk. Slaa ataapishwa baada ya taratibu zote kukamilika. Hata hivyo...
15 Reactions
99 Replies
15K Views
Musa alikuwa akifanya kazi za ulinzi katika kata ya Itope aliuuawa kwa kipigo na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake Salome ambaye alifahamika kwa jina moja hilo, mwishoni...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa mara ya kwanza Hii itakua imeondoa gharama ya Sh900,000 kwa wiki kwa ajili ya kusafisha figo kwa wenye matatizo hayo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Imethibitishwa dawa hizi zinasababisha kuharibika kwa figo. Kindly forward to your relatives in Africa. The list of drugs against malaria removed from the market in the European Union. The...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya asubuhi toka UFM akihojiwa kaka yake Lissu na kudai kuwa, familia iliandika barua kwenda ofisi za Bunge kuomba Bunge kuchukua jukumu la matibabu ya Tundu...
10 Reactions
80 Replies
6K Views
Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Kariakoo wamelalamikia gharama za uondoshaji mzigo bandarini kudumaza ufanisi wa shughuli zao. Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo (JWK)...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umeitaka serikali ya Tanzania kuimarisha taasisi za uwajibikaji na uwazi kwa kupanua wigo wa Asasi za Kiraia kufanya kazi na jamii ili ifanikiwe katika mapambano dhidi ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili ndio swali nalojiuliza mpaka sasa huku mpaka leo hii ikiiwa ni tarehe 24 mishahara bado haijatoka kwa baadhi ya watumishi kitu ambacho sio cha kawaida kabisa. Je,ile ahadi ya kuongeza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WENYE VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA TANZANIA, RAMADHANI MADABIDA. KIWANDA cha Tanzania Pharmaceutical Industry (TPI), ambacho ni pekee cha kutengeneza dawa za kufubaza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hi great thinkers. Nawashauri watumishi wa umma kuwa na files zao nyumbani kurekodi kila tukio hasa ya kuonewa.Hii itasaidia kuwa na kumbukumbu ya matukio uliyo fanyiwa na ofisa au maofisa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sasa kama kuna kampuni ambazo ni hovyo kwenye eneo la internet basi haya makampuni mawili yanastahili kupewa tuzo ya huduma duni. zaidi ni hawa jamaa wa Halotel hapa nakumbuka usemi wa wahenga...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hali ngumu sana kwa wanaume wa Dar! Kuna team ya watu wanawahi na kuuza ticketi kwa wagonjwa wanaochelewa. Wanapiga dili aisee! Vyuma vimekaza
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe atuma salamu za pole kwa kituo cha redio cha Clouds kwa ajali ya moto > Aagiza taasisi zinazohusika kufanya uchunguzi wa kina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh mkuu wa mkoa, Pole na majukumu..pamoja na kuleta barua ya malalamiko kwa kinachoendelea huku kawe naamini ama umeipata ama iko njiani kukufikia Wakazi wa kawe wameshangazwa na kinachoendelea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahakamana ya hakimu mkazi Arusha Leo ijumaa ,imetupa mashtaka ya jamhuri dhidi ya mfanyabiashara maarufu jijini Arusja ,Mathew Shamba Mollel katika kesi ya kughushi nyaraka za serikali ya mtaa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu hivi karibuni nilikuja na nyuzi za kulalamika kuhusu matatizo yalionikumba. ISSUE ILIKUA HIVI Nilikua kwenye gari binafsi natoka arusha kwenda iringa.nilikua na kiasi cha pesa kwenye gari...
5 Reactions
120 Replies
9K Views
Kufuatia kuwepo tetesi, na uwezekano wakuja,na kuboreshwa kwa utaratibu wa kuchukua mafao pale mtu anapokoma ajira yake,Ingependeza sana watunga sera wetu na wapitisha mswada wetu, au kwa lugha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Opposition/oppose/kupinga/kukataa tumeyatumia haya maneno sana kipindi kile cha debate sijui Maisha ya Mjini ni bora kuliko ya vijijini,mfumo wa vyama vingi ni bora kuliko chama...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Watu kumi wamefariki na wengine ishirini na nne wamelazwa katika hospitali ya Malkia wa ulimwengu Puma na hospitali ya mkoa wa Singida,baada ya magari waliyo kuwa wakisafiria kutoka kwenye...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom