Tundu Lissu bila Team Lowasa ni bure!

Tundu Lissu bila Team Lowasa ni bure!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowassa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa TLS ni Team Lowassa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowassa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?

Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!

Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowassa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowassa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowassa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
 
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, ...
Acha chuki na TL.tangu Lowasa hajaja chadema Lissu alishakuwepo kwenye medani ya siasa na alishakuwa maarufu.
Hangaika na yako mwache yule mtu humuwezi kichwa panzi.
 
Barbarosa unahangaika na Lisu sana. Mtaji wa Lisu ni ujasiri, msimamo na uwezo wa kipekee wa kujenga hoja. Hicho kichwa chake ni cha pekee Tanzania ukubali usikubali

Kwa ma low IQ ndo mnaomuona Tundu Lisu ni intelligent, nitajie ni Mbunge gani kashinda Uchaguzi kwa sababu ya kukampeniwa na Tundu Lisu? Au ni kura ngapi keshawahi kuiongezea chadema?
 
naona ni chuki tu zidi ya lissu lakini lowasa ana lolote kwa lissu
 
Simkubali Tundu Lisu ila acha kumkosea heshima
 
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?

Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!

Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowasa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowasa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowasa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
"Nigga please" .... nimechekaje
 
Wewe acha kunananifa ferari na bajaji mzee.... lisu ni lisu nenda mara ukaone wema alowatendea watu... kuna watu wanalia kuhusu lisu mzee wewe unaleta ulumumba yule mtu kama ni kocha ni the special one + the choosen one + tactic master + game changer
Hongera "mwingereza" kwa "kiingilishi" .... Kaushauri kadogo sijui utakapokea ..... Badiri neno "choosen" na lisomeke "chosen" .... nitarudi baadae ...
 
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?

Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!

Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowasa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowasa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowasa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
Yawezekana unamawazo mazuri sana. Labda rudia kuandika post nyingine.... kwa kifupi hueleweki unamaanisha nini... umepost RUBISH.........
 
Sio kweli, lowasa kamkuta TL akiwa tayari maarufu huko chadema.
 
naona ni chuki tu zidi ya lissu lakini lowasa ana lolote kwa lissu
Lowassa angekuwa hana lolote CHADEMA .... Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwemo wabunge machachali kama J. Mnyika, H. Mdee, G. Lema, Mch. Msigwa bila kumsahau Mny/kiti A. Mbowe wangemtosa alipojiunga CHADEMA tokana na walivyokuwa wakimtukana na wakimuita FISADI ... na kamwe wasingempa nafasi ya kuipeperusha bendera ya UKAWA ... na CHADEMA ikiwa miongoni mwa huo umoja ....

By the way viongozi wote wa CHADEMA akiwemo na huyu T. Lissu mbona walikaa KIMYA ... hata hatukusikia lolote pale Mh. Lowassa akiwa nchini Kenya alipotangaza mbele ya U. Kenyata kuwa atasimama tena kama PRESIDENTIAL CANDIDATE 2020 katika uchaguzi mkuu wa TZ .... akiwakilisha upande huo aliko kama si chochote mbona hawakumkemea ... je katiba/taratibu za chama ambazo Lissu amekuwa akijinasibu kuwa muumini wake mzuri zilifuatwa? .... na kama zilivunjwa viongozi wote akiwemo huyo MWANASHERIA MKUU WA CHAMA walichukua HATUA gani za KINIDHAMU kwa Mh. Lowassa? ...
 
Duh...nadharia nyingine ni za ajabu kweli!

TL anabaki kuwa mmojawapo ya wabunge bora kabisa.
 
Barbarosa naomba mtazamo wako wa kisiasa usiharibu mtazamo wako wa fikra.
The hero and The Master of the Game Tundu Lissu sio mtu wa kaliba ya LOWASSA.
LOWASSA ni fortune hunter, Na Tundu Lissu ni mtetezi.

Kamwe kabatini usilinganishe kazi ya sufuria Na umma kwa sababu vyote vimo kabatini.
LOWASSA ni kama umma uswahilini, tusipopika chips hauna kazi.
Kazi ya LOWASSA ilikuwa ni siku tulipopika chips 2015, Siku ya uchaguzi Na kazi yake iliishia hapo
 
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?

Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!

Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowasa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowasa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowasa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
Barbarosa umeongea pumba tupu.
LOWASSA kaingia CHADEMA lini?
Tundu Lissu kaanza kuwa mbunge lini?
Kila kitu ulichonacho mwilini Kina umuhimu wake Na kazi yake. Kazi ya makalio ni kuketi Na si kufukiri. Naomba usirudie tena kosa la matumizi mabaya ya makalio yako
 
Lowassa ni Mlima Kilimanjaro
Na Lissu ni Kama Kilimanyege cha pale Morogoro store
Siasa ya Tanzania sio kupiga Kelele na Kama ingekuwa ni uwezo wa kupiga Kelele Lowassa na Kikwete wasingekuwa na Mafanikio ya Kisiasa kiasi kile
 
Back
Top Bottom