Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani naombeni kuuliza Kuna ofisi ya tra ambayo hufanya kazi jumamosi Hasa hasa ile ya leseni ya pale karibia na stesheni ni swali tuu jamani naombeni msaada ili niweze kujua
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ,Augustine Mrema leo ameripoti rasmi tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii katika kituo cha polisi cha OysterBay kilichopo jijini Dar es salaam . Mh...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Manyara A. Mnyeti amewataka viongozi wa Kiteto kuwaheshimu wananchi Kwa kuwa wao ndio waajiri wao
1 Reactions
1 Replies
818 Views
Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Salaam!. Direct Kwenye Mada wakuu,. Kwa Huku kwetu uswahilini kuna jambo flani linaendelea nimeona tulijadili kwanza. Hiki kitendo cha Mjukuu wa kiume kuitwa mume Na bibi yake ambaye amemzaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Vurugu zimeibuka katika Vijiji Viwili mpakani mwa Wilaya ya Serengeti na Bunda ambapo wananchi wanagombania ardhi. Taarifa zaidi kuwajia kupitia uzi huu...........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua historia fupi ya John Okello • Alikozaliwa na wazazi wake.. je ana ndugu wengine je wako hai? • Alipokuwa Zanzibar je alikuwa anajishughurisha na nini? • Alikuwa anaishi wapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea kinachoendelea tunisia. Ughali wa maisha wawateremsha barabarani. Ni maandamano hadi kieleweke.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili jambo hunishangaza sana, walio na kimbele mbele cha kujifanya kujua matatizo ya Zanzibar ni watu wa Bara, hii ni ajabu kwa kawaida ilipaswa Wanzanzibari ndo wajae hapa JF kuongelea kupendezwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndungu zangu wana jamiiforam nimepatwa na janga lakubomokewa na nyumba kwa mvua ile ya jana Yaani ukuta Wote umegongwa na jiwe lillilotoka kwenye kifusi Cha jirani Nyumba ni mpya nina miezi 5...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Baada ya baadhi ya shule za msingi na sekondari za binafsi kubaki na wanafunzi wachache kumekuwa na mikakati mipya kabisa 2018. Kubwa zaidi ni kubadili mifumo kwa kulazimisha wanafunzi kulala...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yeyote anaefahamu chuo, tasisi au sehemu yoyote ambapo yanatolewa mafunzo ya CCTV camera installation anifahamishe city vifuatavyo -mahari mafunzo yanapotolewa??? -muda wa mafunzo -Gharama za...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Madereva Bodaboda wa wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamekula kiapo cha uaminifu cha kuwalinda watoto wa kike dhidi ya vitendo vya ngono na mimba za utotoni zinazo sababisha kukatisha haki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na waandishi wa habari huko kituo cha televisheni cha serikali (ZBC) Zanzibar Jabir Idrissa KUNA uhalifu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuanzia Aprili mwaka huu serikali yake itaanza kuwalipa wafanyakazi wa umma kima cha chini cha mshahara cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa siku kadhaa kumekuwepo no taarifa Juu ya babucha ya nchini Uganda kutumia dawa Aina ya formaline kuhifadhia Nyama ili isiharibike, Formaline nini? Hii ni dawa inayotumika Katibu miili...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tanzania tumenunua ndege, chadema na Tundu Lisu wakaamua kupigania Muzungu akamate Ndege yetu kwa sababu Muzungu anatudai, huyu ni Mtanzania kafanya hivyo, sababu ni kwamba anamchukia Raisi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea? .......eti J: PM kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23]...
57 Reactions
87 Replies
9K Views
  • Closed
Habari wakuu natumaini mu wazima wa afya,naomba niende kwenye lengo la uzi wangu moja kwa moja Wakuu kwa sasa nasoma chuo na pia naishi mwenyewe ila kuna mtu ambaye ananifadhili kila kitu lakini...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Hakika kipengele cha kunyamvua na kujumlisha,wakiwa wanasoma magazeti Maulidi Kitenge a.k.a chumvi,Gerald Hando,Musa Kipanya na Irene Kilenga wanajua kuyasoma na kudadavua bila uwoga wowote ni...
1 Reactions
0 Replies
906 Views
Back
Top Bottom