Nassib nyika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 962
- 471
Natangulizaa shukuran wakuu,naomba kujuzwa kiundani Kwa yeyote mwenye kufahamu,je Kwa mwanafunzi hili limekaaje?maana mwenyekit wa mtaa wetu anachagua watu wakalinde usiku ingali Mimi no mwanafunzi,je kisheria natakiwa kulinda?