Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
Mtu unadownloda kitu cha mb 8.point ndani ya saaa moja. Kama sio kumaliziana charge tu huku.
Zamani mlikuwa poa Sana na niliwasifia mnoo. Zaidi niliwashawishi watu zaidi ya kumi kujiunga na mtandao wenu. Nilipouna upo katika mwelekeo.
Lakini sasa naona mnashindwa. Sasa sijui ndo wateja tumekuwa wengi kasi inapungua.
Mjitahidi bwana mnaboa.
Situmii internet kwa raha [emoji35] [emoji35] [emoji35]