Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Salaam wazee wenzangu
Tangu Jana natafuta App ya Jf kule play store siipati naambiwa item not found
Nataka kuinstall kwenye simu yangu mpya ya Infinix
Je tatizo ni nini?