Tetes: Kuna bonge la Fursa huko Ujerumani Audi, Benz, VW Na BMW tatizo human rights wanazingua

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,694
29,025
pri_67411603.jpg
pri_67417161.jpg
Mzuqa Wanajamvi

Nimedokezewa muda siyo mrefu bonge la Fursa huko kwa wanaume wagumu duniani Ujerumani.

Ni hivi Audi, Benz, VW na BMW kwa kushirikiana wanahitaji watu wa kutosha kufanya utafiti Na utalipwa euros laki moja.

Utafiti wenyewe wanajaribu kutafiti Ni jinsi gani Moshi wa gari unavyoathiri afya ya binadamu.

Watakaochaguliwa wanawekwa uso na mdomo wazi karibu na "egzost" chuma linawashwa kwa muda wa dakika 10 muda wote huo mdomo lazima uwe wazi. Baada ya hapo unadakishiwa euro laki moja.

Tatizo watu wa haki za binadamu wameshatonywa Na wamekuja juu kichizi Na kuonya endapo ikitokea hili wataandamna. Hii imelifanya zoez kusuasua kwa muda.

Wanadai utafiti huu walishaufanya kwa manyani Na sokwe ila hawajaridhika wanataka kuufanya kwa binadamu.

Ila Kama haidhuru "gegedo" na nguvu za kiume dah mbona POA tu. Laki moja Euro Ni ndefu Sana
 
Fulsa ya kuuana hiyo achana nayo hiyo mkuu ni sawa na mvuta sigara kwa muda mrefu hiyo pesa ukikaza mbona unapata tuu...aina tofauti na kubebeshwa sembe tumboni kisa pesa ndefu huku unajiua kwa madhara yake...
 
Hahaha mbona utafiti wa kijinga huo hauna uhalisia na matumizi ya magari hayo.
Nani huwa anaweka mdomo au pua kwenye bomba la moshi gari likiwa linatembea?!
Research hizi kama za Twaweza.
 
weka link ya ajira mkuu... milioni 200... ije kulea familia kipindi hiki kigumu... pia tukate bima mapema...
 
Yaani bongo ikitokea mtu anataka P*mbu kuna Watu wataziuza

Hahahahahahahaa napenda sana kufanya masihara na sehemu za uzazi za kiume......

Yaani majina yake huwa ni tabasamu tosha kwangu. ... ati puumbuu maraa makeendee heheheh wengine korodanii kiinglish testakoz hahahahahaha

Napenda kuzishika shika vile zilivo laini laini teketeka kama nyanya chungu au biringanya hahaha naziminya minya kwa upoleee na utaratibu aahahahahhahaa yeeeuwiiiii wacha nikimbie kabla sijabambwa. ....
 
View attachment 689392 View attachment 689393 Mzuqa Wanajamvi

Nimedokezewa muda siyo mrefu bonge la Fursa huko kwa wanaume wagumu duniani Ujerumani.

Ni hivi Audi, Benz, VW na BMW kwa kushirikiana wanahitaji watu wa kutosha kufanya utafiti Na utalipwa euros laki moja.

Utafiti wenyewe wanajaribu kutafiti Ni jinsi gani Moshi wa gari unavyoathiri afya ya binadamu.

Watakaochaguliwa wanawekwa uso na mdomo wazi karibu na "egzost" chuma linawashwa kwa muda wa dakika 10 muda wote huo mdomo lazima uwe wazi. Baada ya hapo unadakishiwa euro laki moja.

Tatizo watu wa haki za binadamu wameshatonywa Na wamekuja juu kichizi Na kuonya endapo ikitokea hili wataandamna. Hii imelifanya zoez kusuasua kwa muda.

Wanadai utafiti huu walishaufanya kwa manyani Na sokwe ila hawajaridhika wanataka kuufanya kwa binadamu.

Ila Kama haidhuru "gegedo" na nguvu za kiume dah mbona POA tu. Laki moja Euro Ni ndefu Sana

I doubt it very much. With advances in technologies these days, huhitaji kufanya majaribio na binadamu directly kiasi hicho. At least sio kwenye nchi zilizoendelea kama Ujerumani.
 
Akili yako haina tofauti na yule jama alosema atauza figo yake ili apate hela za kumtibia mwanasheria domokaya
 
Hahahahahahahaa napenda sana kufanya masihara na sehemu za uzazi za kiume......

Yaani majina yake huwa ni tabasamu tosha kwangu. ... ati puumbuu maraa makeendee heheheh wengine korodanii kiinglish testakoz hahahahahaha

Napenda kuzishika shika vile zilivo laini laini teketeka kama nyanya chungu au biringanya hahaha naziminya minya kwa upoleee na utaratibu aahahahahhahaa yeeeuwiiiii wacha nikimbie kabla sijabambwa. ....
Otatenaneee !!
 
Back
Top Bottom