Zawadi ya upendo

Zawadi ya upendo

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
Wasalaam

Baada ya kukutana na biashara hii yenye kila sababu ya kuifanya nikaona nisiwe mchoyo basi niifikishe kwa watanzania wenzangu free of charge ili watu wanaojua kutumia fursa waikamatie.

Biashara ya punda mkoani Dodoma ni habari nyingine kwa sasa,inaweza kuwa breakthrough yako into richness(you dont believe it?stay with me)
Kuna kiwanda cha punda kinachomilikiwa na wachina maeneo ya stand mpya,barabara ya kwenda singinda/Tabora/Mwanza ambapo ni umbali wa kama kilomita 10 toka town centre.Kiwanda hiki kuna kipindi kilifungiwa ila february mwaka huu kimeanza kufanya kazi.
Kiwanda kinanunua punda kwaajili ya nyama(china) na ngozi yake pia.Hasa ngozi ambayo ni malighafi muhimu katika utengenezaji wa viatu,n.k

BEI YA PUNDA VIJIJINI
Wanapatikana kwa bei ya 30,000/= mpaka 40,000/= (inategemea kijiji na kijiji).usafiri weka maximum punda mmoja atakugharimu 10,000/= hivyo gharama ya kumsafirisha punda kabla ya kumuuza ni 50,000/=

BEI YA PUNDA KIWANDANI
Punda mmoja anauzwa 190,000/= (hakuna mambo ya kupima uzito,n.k)
Faida=190,000-50,000
=140,000/=
Hivyo ukiwa na mtaji wa laki 5 unaweza ingiza 1,900,000/= na faida ikawa 1,400,000/=(kwanini usiseme ni zawadi ya upendo?).Suala la soko ni la uhakika

Gharama ya kibali cha kusafirisha ni ya kawaida kabisa.

Nina uhakika na maelezo niliyoandika,nina field research ya kutosha,sihitaji hata cent ya mtu(neno asante linatosha).
Kwa maelezo ya kina ntafute ntakusaidia FREE OF CHARGE.
Narudia tena hii ni zawadi ya upendo!!!

Maisha ni mazuri ukifanikiwa ila maisha ni mazuri zaidi ukizungukwa na watu wenye mafanikio.Lets make the world a better place

0767833496
0622111186
 
Back
Top Bottom