barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,299
- 660
Katika zunguka zunguka ya bank aisee usijiloge ukaenda tawi la Mbaliz road soko la zaman uhindini mkabala IPO.
Aisee pale bank ni shida dilisha zipo nne ila hazijawai kuwa zote kazini,mteja mmoja anahudumiwa Dk kumi mpaka kumi na tano.
Ingeoendeza wangeiga crdb wako vizuri kwa wateja.lkn kwao unapanfa foleni hata ya kuomba kazi afadhali au wanatufundisha ukakamavu.
Badilikeni jaman mundane na hali ya sasa ukongwe usiwafanye muwe viburi kiqsi hicho