Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,060
Hi members, ni matumaini yangu mko salama salmin.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, binafsi natabiri yafuatayo katika ulimwengu huu.
.
1. Kizazi cha mwanadamu kitaanza kua replaced na kizazi kipya(species) wapya watakaokuwa ni product ya mwanadamu na mnyama na watatengenezwa maabara.
Program hiyo itaanzia nchini Marekani,Poland au China.Kizazi hiki kipya kitakua na nguvu na akili nyingi kuliko mwanadamu.Japo natabiri pia kwamba wanaweza kukiangamiza kabisa kizazi cha Mwanadamu kutokana na uhasama utakaokuwepo..
Viumbe hawa watakua na uwezo mkubwa wa akili na watakua na uwezo mkubwa wa kufanya kazi mara 100 zaidi ya binadamu.Hawatashambuliwa na magonjwa kirahisi na watakuwa na uwezo wa kutabiri hatari na mazingira/hali ovu mafano matetemeko,tsunami n.k.
.
2.Kutakua na muungano wa mataifa na sarafu itakayotumika itakua ni moja kwa maana mataifa mengi yataungana na kukubaliana kutumia sarafu moja, mfano africa mashariki,magharibi na kusini zitakua zinatumia sarafu moja na hatimaye kila bara litakua na sarafu yake.Baada ya muda dunia nzima itakua na sarafu moja.
Maraisi wa nchi watakua wawakikishi na nchi zitafanywa kuwa kama Majimbo na maraisi watakua magavana wa majimbo hayo ambapo wote watawajibika na kufuata matakwa ya makao makuu(WASHINGTON,BERLIN,BEIJING,MOSCOW AU PARIS.)
.
3. Kutakua na dini moja kwa mataifa yote na siku za kupumzika zitapangwa na zitakua siku mbili tu na baadae itakua siku moja.
Watu wote watalazimika kuabudu siku moja na kupumzika siku moja.
Mifumo ya dini na imani itakua sawa na mikakati itapangwa ambapo maagizo yoote yanayahusu nini cha kufanya yatatolewa na mamlaka za juu.
Makao makuu ya dini zote yatakua katika nchi mojawapo africa (Misri) au (Ethiopia).Hakutakua na uislamu wala ukristo wala ubudha au uhindu.Hakutakua na papa na kama akiwepo atakua kama alama tu ya historia na utamaduni kama alivyo malikia lakini hata kua na influence katika dini na imani.
.
4. Sayansi itakua imekua kwa kiasi kikubwa sana.Mwanadamu atakua ameanzisha makazi katika sayari ya Mars.Nchi nyingi zitakua tayari zimepeleka wanasayansi katika anga za mbali.Internet itakua moja ya majitaji muhimu.Hakutakua na kununua magari watu watatumia usafiri wa jumuia (public transport).
Matumizi ya umeme wa kufua kwa maji yatakuwa madogo na badala yake umeme utazaliswa viwandani na gesi itatumika sana wakati huo.Hakutakua na nguzo za umeme badala yake umeme utanunuliwa(au utaongezwa )kama vile tunaongeza vocha ama kulipia king'amuzi.
.
5. Mwanadamu hataona haya kutembea uchi wa mnyama.Hakutakua na aibu tena na watu wataoana bila kujali undugu.mwanadamu atabihevu kama mbwa au mbuzi au kuku katika swala la mapenzi.
Tv na Radio vitahamasisha uovu ikiwa ni pamoja na ngono na starehe.Watangazaji watavaa uchi uchi na kutakua na vipindi vya tv vya sex live..
.
6.Mwanadamu atakua dhaifu sana kwa mwonekano kwa sababu 98% mwanadamu atakula chakula cha kiwandani na hakutakua na vyakula asili katika maeneo mengi.Mwanadamu hata kua na nguvu za kufanya kazi kama zamani.Aaonekana kiumbe dhaifu mbele ya viumbe vipya vya maabara.Na katika siku za mwisho za mwanadamu kuishi katika ardhi kutakua na vita kali kati ya mwanadamu na viumbe wapya.
.
7.Kutakua na Jeshi moja kwa mataifa yote.Hakutakua na jeshi la nchi bali kutakua na watuliza fujo tu ambao watakua kama police.Jeshi litaratibiwa kutoka makao makuu (USA, GERMAN na CHINA).Wanajeshi watapata mafunzo yaliyo katika standard sawa kila mahali.Na kutakua na mission za kulinda amani katika mataifa korofi ambayo hayatakubali kirahisi mfumo huu mpya..Wanajeshi watalipwa kiwango sawa kulinana na cheo husika.
.
8. Ilikuweza kushawishi kwa urahisi, watumishi mishahara kwa watumishi wa nchi zote italipwa katika viwango vya kimataifa yaani kwa sarafu iakayokua imepitishwa (Dollar ama Pound, japo uwezekano wa kupitishwa sarafu ya china ni mkubwa)Hakutakua na maskini mahala oengi.Watu watalipwa pesa kwa ajiki ya kujikumu kama hawajaajiliwa.
Kutakua na ongezeka la watu wenye matatizo ya akili may be kwa sababu ya ulevi ama kwa sababu ya msongo wa mawazo.
.
9. Hakutakua na hofu ya mungu tena,Kila kitu kitakua wazi na ulaghai wa dini na maandiko yasiyo ya kweli utafahamika.Watu wataitegemea sayansi zaidi kuliko imani na dini.Makanisa na misikiti itapungua kama sio kuisha kabisa.
.
10. Kutakua na system mpya ya kuabudu ambapo sayannsi na wanasayansi wataabudiwa kuliko mitume na manabii.Hakutakua na kutishana kuhusu mtu/kitu kisichoonekana kinachokontrol ulimwengu.
Ninatamani sana kama ningekua mmoja wa wanadamu ambao wangeishi katika ulimwengu huu wa wakati huo.
Karibuni sana..
.......Free ideas.......