Hahaha nabii Tito wanamuonea mbona waumini wake hawakulalamika popote,
Kakamatwa na wakamtoa akili zake. Sheikh mkuu na BAKWATA zinalalamikiwa lakini sheikh mkuu hakamatwi, hapimwi akili unadhani hii sawa?!
Rais anapendelea Dr.Shika pia anayo PhD mbona hampi hata ubalozi au amteue ampe hata ukuu wa Yono broker?!