Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Omar Mahita amesema baadhi ya askari polisi wanashindwa kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wanaovunja sheria za nchi wakihofia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwanza kabisa naomba tu kusema kwamba mimi sipo CCM wala sipo UKAWA! Mimi ni muimini wa siasa safi za kutuletea maendeleo.Hata kama Hashimu Rungwe Spunda angetuongoza kwangu sawa tu... Hivi ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa nakosa usikivu mzuri (Sauti) hasa ukitazama vipindi Mubashara, Sauti za watangazaji zinasikika vibaya sana Kama vile wapo ndani ya Pipa. Mmekuwa TV yenye kufuatiliwa na watu siku za hivi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika kipindi kinachokwenda live kila siku ndani ya magic fm katika segment ya tunapaka Rangi naona leo wanamkaanga ndugu kailima . Majibu anayoyatoa humo ni kujikanyaga kanyaga tu ata aeleweki...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kampuni ya Frostan Limited yenye makao makuu jijini Dar es Salaam, imebainika kuuza nyama iliyoisha muda wa matumizi (expired), hivyo kuhatarisha afya na maisha ya walaji nchini, uchunguzi wa...
5 Reactions
81 Replies
13K Views
Hii kampuni huwa inanitumia msg za kubet kila siku yaani hadi zinafika sita. Juzi jumatatu mke wangu alikuwa na shida ya hela fulani, na kwa kweli kwa wakati ule nilikuwa sina, nikamwahidi hadi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani kuna tetesi nimezipata toka kwa rafiki yangu aliyeko jijini Mwanza kwamba kuna wimbi la utekaji wa watu. Nasema ni tetesi na sijajua vyema kama kuna ukweli au la. Ila nilisikia Clouds kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa jamaa hii ni mara ya 3 sasa,..ndo nmeingia hapa nyumban najiandaa niwatch news,naona holaa,nikwel muda umekwisha ,ila sasa hata locals sizioni jaman,hata Tbc,last times had nilipowapigia ndo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Naandika haya nikiwa na uhakika Wa baadhi ya mambo ambayo nimeyashuhudia Mimi mwenyewe nikiwa mwanafunzi Wa shule hizi za kata. Mwaka 2010 nilimaliza kidato cha nne katika shule mojawapo ya kata...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Tanzania sasa tukiongea demokrasia kwa viongozi wetu ni tatizo kubwa inasekana,,,,, haswa ila sina uhakika kama kweli demokrasia haipo kama wengine wanavyosema, kwa kipindi kigumu cha vyuma kukaza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana bodi Najua wote mnatumia huduma zakibenki hapa nchini,hivyo tutoe frusa hapa kutoa kero/maoni yako,kero unayokutana nayo katika benki husika, hili wahusika waweze kutambua katika maeneo yao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwanini tunafeli kwenye matangazo ya biashara tangazo linapiga kelele mpaka unaichukia tv yako mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezeni ubunifu na sio kupiga makelele tu kuna...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili swali ni tata sana huwa najiuliza kila kukicha,hivi ni kweli mpka leo hii mungu huendelea na kazi ya uumbaji si kweli na sidhani kama anaendelea umba,nadhani uumbaji wake wa kwanza hauhusiani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naleta Huu uzi kwenu ndugu zangu nikiwa na uchungu mkubwa mno. Naweza kuthibitisha pasi na Shaka kuwa Police wa Tanzania ni maalumu kwa kulinda wanasisa wa chama tawala na kuonea wapinzani basi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti...
0 Reactions
5 Replies
848 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kwa Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Sweden na Nigeria kutilia mkazo Sera ya Diplomasia ya...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
"It is designed to be a superyacht tender. Until now, superyacht owners arrive at the dock aboard their 30-foot tender limos and then have to use Maybach or Rolls-Royce to get around town. The SLT...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa wenzetu sijui nani kawadanganya . Wao hujiona ni wa kipekee sana. Wakati mwingine hujiona wako juu ya sheria. Liko tatizo kubwa sana kwa hawa jamaa. Nadhani umefika wakati sasa wa kupitia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mpango huu uliwekwa mpaka ukatengewa bajeti na jiji kwenye bajeti take ya 2017/2018. Na tulihakikishiwa ujenzi ungeanza July 2017, lakini mpaka sasa hamna kitu. Wenye taarifa kuhusu huu ujenzi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajf.. Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu) Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na...
22 Reactions
107 Replies
7K Views
Back
Top Bottom