2 hours in Dar is not 2 hours in Songea.

2 hours in Dar is not 2 hours in Songea.

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Kweli nimeamini watu wa dar kiboko na hawako on time kabisa yan nilikuwa na miadi ya pesa kwa kufanya biashara na mtu wa dar aliniahidi atafanya transaction baada ya masaa mawili kwa maana ilikuwa saa 3 asubuhi kwa hyo masaa mawili ilitakiwa iwe saa tano ila mpaka sasa 3 usiku hamna kitu nimewaza nikaona nije na hyo heading kama hashtag
Watu wa dar kumbukeni timr is money.
 
Nimechukua sample ya mji ambao watu wako niwaaminifu katika muda lakini pia hakuna foleni kama huko kwenu
Hicho kichwa cha habari ni tofauti na ulivyo andika kwenye dhumuni lenyewe.
 
Yawezekana Yale maswali ya mtihani yaliyouliza 'Taja kichw@ cha habari husika' yalikuwa yakikubombadi...
 
Back
Top Bottom