Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo kwa mshangao nimemuona askari polisi akiwa madhabahuni anamlinda mchungaji huku ibada ikiwa inaendelea. Ibada hiyo inafanyika kanisa la Pool of Sloam mbezi beach na kurushwa moja kwa moja na...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Wahamiaji haramu 83 ambao ni Raia wa Ethiopia wamekamatwa huko mkoani Iringa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi Kwa mujibu wa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhamiaji wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau Umuofia Kwenu. Leo nikiwa mwanza airport nasubiria usafiri wa kuelekea dar, kukawa na mechi kati ya Man utd na Chelsea. Jioni hii huwezi kuona huo mpira sababu cable haioneshi. Pia kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa maji Mhandisi Isaac Kamwele ameagiza kuondolewa kwa msimamizi wa mradi mkubwa wa maji katika kata ya Nguruka wilayani Kigoma Erick Suma baada ya mradi huo uliokuwa ukamilike mwezi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkataba huu unaainisha bayana haki na wajibu wa mlipakodi kama ilivyoelezwa kwenye sheria za kodi kwa lengo la kudumisha na kuboresha mahusiano yaliyopo kati ya TRA na mlipakodi. Wajibu wa TRA...
0 Reactions
1 Replies
45K Views
Asasi ya "Bukoba Mpya Foundation" kwa kushirikana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera Imeandaa Kongamano kubwa la kuzitambua na kuzitumia Fursa za maendeleo mkoani kwa vijana, kina mama, kina baba na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wakuu Najua hapa hakishindikani kitu Mm na wapangaji wenzangu tumekuwa tukiiibiwa sana yaani ukienda dukani bila kufunga mlango unaibiwa, tena mwizi hata akikuta laptop na simu ataacha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau hii habari ilianza kama masiahara wengi wakabeza kwamba ni kelele tu za mitandaoni, ila kadri muda unavyokwenda naona kampeni inapamba moto! Huko kwenye magroup ya telegram mambo ni moto...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kwa karibu sana matatizo yaliyopo ardhi (wizarani na idarani) nikagundua mengi sana nakaona nisiwe mchoyo, hivyo nimeamua ku shirikisha wadau bure kabisa. Wizara...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume hapa duniani, kln sijawai ona wala sikia ni lini na wapi iliwai fanyika Sensa ya utambuzi huu, aidha sijabahatika kuiona na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa najiuliza hivi ni kwanini marafiki zangu wengi wakiwa hawana hela na wanataka kupooza makoo wanategemea kuwa mimi nitawanunulia na wakipata hela huwa siwaoni, Muda wowote nikikutana nao hata...
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Mheshimiwa raisi pole na majukumu yako ya kuongoza nchi ila acha niongee haya madogo niliyoyaona. Jana tarehe 24-02-2018 kuna mkutano wa hadhara ulifanywa na waziri wa ardhi mheshimiwa Lukuvi ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nakumbuka mtaani kwetu jamaa mmoja wakati huo, kwa sasa ni mzee alikuwa na uwezo wa kuja shambani kwako asubuhi akachukua mazao na akaondoka hata ukimshtaki hakuna wa kuthubutu kuongea hiyo kesi...
3 Reactions
86 Replies
12K Views
Husika Na Kichwa hapo juuu. Pole na Majukumu na Ziara za Nje.... nisikuchoshe Ukichelewa tuu kuanza kwa Mradi wa Stiegliers gorge utahujumiwa....tayari Ma UN na Mashirika yake washaanza,hakuna...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Nimeona Jana kidogo ktk news kuna dada huyu wengine wanasema ni mtangazaji wa radio hakika alikua Na mungu kwa jinsi lile kontena lilivyoenda egama kwenye Gari jingine ilihali Gari ya huyu dada...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama ? nina jamaa yangu ni dereva amekuwa haelewi hili jambo analokutana nalo hasa akiwa safari za kawaida tu mikoani hutokea mara kadhaa kukutana na kinyonga akiwa barabarani buys...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, ninataka kwenda Msanga, Kisarawe kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijamii. Kuna mtu yoyote anaye pafahamu vizuri anipe ABC zake? Natanguliza shukurani...
1 Reactions
59 Replies
13K Views
Kituo wanacho shushia abiria toka mikoani, sasa inafaa kipanuliwe, kama ilivyofanyika pale kibamba. Hii haitaji garama ya lami ni kuondoa tu ule mlima, ili mabasi yaingie kwa ndani kidogo. Mbezi...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wizara ya Madini imetoa muda wa siku mbili kwa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), kukamilisha mchakato wa ulipaji fidia nyumba zaidi ya 80 za wananchi zilizopata nyufa kutokana na milipuko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom