Jana usiku,hali ya joto ilikuwa ya juu sana,hii nimeuliza watu wengi kama walihisi joto la juu au ilikuwa ni mimi tu,kweli watu wanasema joto lilikuwa balaa.
Sasa leo hali ya hewa imechange na...
Wafanyabiashara wa mitungi ya gesi wa reja reja hawatoi risiti za EFD. Nimenunua mara nyingi na kila nikidai wanaishia kunipa ya kuandikwa kwa mkono, nimejiuliza iweje maliwatoni tupewe risiti ya...
Hii nimeiona EATV KUNA UKWELI GANI KATIKA HILI sasa hakuna kufanya kazi tena ni uhakiki tu mwenye ukweli atwambie
==========
Serikali ya mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Mariam A...
Najaribu kuwaza kwa kina baadhi ya mambo yanayotrend kwenye mitandao ya kijamii na hoja za watu,naona kama kuna tatizo la fikra.
Inatokea migomo na fujo mashuleni kwa sababu za kiuanafunzi jitu...
Mfano wa hivi karibuni ni Azam TV, nafasi zilitangazwa, wasomi...wenye uzoefu na wenye vyeti wakaapply na waliopata wakapata. Nashangaa Wasafi TV kufanyia nafasi za kazi audition, badala ya ku-act...
Jamani wana jamvi kuanzia wiki hii ianze nimekuwa nikipigiwa simu na namba ngeni siifahamu Ila ni ya nje +674..... Nimeifuatilia code no. hii ni ya kinchi kidogo huko Oceania na hii leo hadi...
Wakuu amani iwe kwenu!
Lengo la uzi huu ni kuwapa kwa ufupi yaliyonipata jana na mrembo fulani mkali. Ilikuwa hivi, jana nilitembelea chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa shida zangu...
Waugwana tupumzishane kidogo na mambo ya politik
Nina jamaa yangu tunafanya kazi nae hapa, anataka kwenda Tanzania, ( kwetu) na kutembelea Zanzibar na Dar, Kwa Zanzibar nina mtu tayari wa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kiwango cha utegemezi kiumri kwa Watanzania ni asilimia 92.
Amesema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, kiwango cha utegemezi...
Leo nimekaa nikajiuliza vimaswali flani hivi korofi kwenye tukio la shambulizi la Lissu.
Hivi ni kweli kuwa kukosekana kwa dereva wa lissu ndio sababu hadi leo polisi wameshindwa kupata mshukiwa...
Kiongozi wa kundi la Wazanzibari 40, 000 waliofungua kesi kwenye mahakama ya Afrika Mashariki kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rashid Salum Adi, anasema anahofia usalama wa...
Habari wakuuu
Niende moja kwa moja, naomba taarifa za matokeo ama mrejesho wa usaili uliofanyika jana jumamosi. Walisema tokeo litatoka leo vipi teyaree ama ziiii?
Habari wana jamii
Nimevumilia ila nimechoka inabidi niseme kweli huku kwetu maeneo ya buhongwa ,mkolani hadi nyegezi tuna uwawa kama ndege ,ukikutwa na hawa jamaa lazima wakuuwe chaajabu...
You want me silent?
Kill me first,
You want me quite?
Kill me first.
You want me shut my mouth?
Kill me first.
You want me bite my tongue?
Kill me first.
Kidnapp me,Torture me,
Cripple me, Harass...
Waziri Mkuu amesema Serikali ina mpango wa kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto kwa kuondoa kipengele cha dhamana kwa watu watakaotuhumiwa kuwapa mimba wanafunzi.
Amesema hatua hiyo inatokana na...
Taaluma ya uandishi wa habari ni kati ya taaluma za muda mrefu na zinazoheshimika sana duniani.
Kazi ya mwandishi wa habari ni kukusanya taarifa,kuandika au kusambaza taarifa kwa jamii...
Kufuatia mvua kubwa inayonyesha jijini Dar es Salaam imesababisha hitilafu ya umeme katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
Hifilafu hiyo imetokea katika chumba kimoja cha Mahakama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.