Moto mkubwa umelipuka eneo la viwanda. Muda wa saa 3:00.
Mojawapo ya ghala la Kiwanda cha viatu bora shoes ndo kinateketea muda huu. Tukasaidie uokozi wapendwaMoto mkubwa umelipuka eneo la viwanda. Muda wa saa 3:00.
Weka taarifa kamili na picha mkuuMoto mkubwa umelipuka eneo la viwanda. Muda wa saa 3:00.
Na Tanzania Cigarette piaJirani na kiwanda cha Alaf