Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikiifuatilia star TV vipindi vya mijadala ya asubuhi, kwa ujumla mijadala wanayoweka ni mizuri lakini tatizo liko kwenye utoaji nafasi kwa wazungumzaji, akiwepo mzungumzaji ambaye mlengo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau Kinywaji cha Kahawa kimefanyiwa tafiti nyingi hususani matokeo yake kwa afya ya binadamu 1.Tafiti za awali kabisa zimehusisha kahawa na kuongezeka kwa maradhi ya moyo. 2. Tafiti za...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Inauzwa, ni mpya kabisa bei maelewano. Piga 0620436634.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari waungwana! Kuna jambo moja huwa nalifikiria kila misiba inapotokea, sijui labda ni uvivu wangu na haraka zangu, Huwa naona tunatumia nguvu nyingi sana kuchimba makaburi kuwahifadhi...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Hospitali hii pamoja na kuwa na madaktari mabingwa toka Muhimbil lakin huduma ni duni mno. Ndugu yangu amelazwa wodini mgonjwa jirani amefariki toka mchana Maiti haijaondolewa wodini mpaka usiku...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Wadau Leo tarehe 24 Disemba 2017 kuanzia saa 3 usiku TBC watakuletea matangazo ya moja kwa moja ya mkesha wa Krismas kutoka Kanisa Kuu la Anglikana maeneo ya Mkunazini Zanzibar. Tafadhali mjulishe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni. Ni kwa muda mrefu najaribu kufungua website ya wizara ya viwanda ilikupata information za industrial sector kwa Tanzania. Nasikitika siwezi kupata chochote kama kuna website...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Arusha ( March 2012) Nilikuwa nimetoka kupakia mawe mgodini nikapitia kijiweni kwa man kausi nikachukua shada misokoto minne nikatia kwenye buti la mgambo nililokuwa nimevaa, nikaanza safari...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Wakuu naomba msaada hapa, Nashindwa kupata jibu kuwa inakuwaje mkuu wa mkoa wa Dar awe mfano kwa wakuu wa mikoa wote. Naomba tuangalie vitu ambavyo vipo vinaonekana Dar ya leo na tulinganishe...
0 Reactions
5 Replies
826 Views
KIGOMA: Hadi sasa jumla ya miili 13 imepatikana katika Ziwa Tanganyika baada ya boti mbili kugogana eneo la Rubengera wilayani Uvinza hapo juzi na watu 22 kuhofiwa kufariki. Zoezi la kutafuta...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Hivi hata ktk hili hadi mh Rais alitolee kauli?! Nchi yetu inazo nyenzo zote za kuweza kufunga taa za usiku mijini hadi vijijini. Nguzo tunazalisha wenyewe hapa kwetu, kwanini wataalamu wetu...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari jf,kwa taarifa za kuaminika kutoka kiwanda cha sukari kagera sugar,dereva wa kampuni hiyo bwana Ayubu ametekwa Kongo, ni km chache tu kutoka mpakan mwa Burundi na Congo,lkn pia kutoka...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna ajali mbaya imetokea muda wa saa 10 alfajiri ya leo eneo la Mwidu ktk njia ya Morogoro - Dar. Kuna watu waliofariki. Ajali hii imepelekea foleni kubwa sana lakini traffic wanajitahidi kuruhu...
2 Reactions
32 Replies
52K Views
Kumekuwa na kero kubwa katika utaratibu wa uzoaji wa Takataka katika mitaa tunayoishi. Magari yamekuwa ni mabovu,hayapiti kwa wakati na utoaji wa risiti za kielectronic umekuwa wa kubabaisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo dhana inayoenea miongoni mwa watanzania kwamba anayeikosoa serikali katika mambo anayoona hayaendi sawa haitakii mema nchi hii. Dhana hii haina budi kukemewa na kulaaniwa kwani ni dhana...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Wale mliozaliwa babazenu wakiwa na smartphone kwanza niwape hongera, sasa si mnajua Mara babyborn uwekwe kwa kioo n.k ni raha sana kuwa na mtoto Pili niwakumbushe tu mkiwa wadogo kila kitu picha...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
MTWARA: Polisi wanamsaka mwanamke aliyefahamika kama Zuhura Ismail (29) kwa kosa la kumfungia mumewe ndani kisha kuichoma nyumba kwa petroli na kumsababishia kifo Mume wake walikuwa wametengana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiufupi tu ni kwamba watanzania wengi wanasikiliza redio kwenye magari, iwe yao au ya umma. Magari mengi yanayotumika Tanzania ni ya Japan ambayo kwa kawaida redio zake hupata frequency za fm...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Habri, JF. Naomba kujuzwa kuhusu waliosoma nje ya Bongo hasa elimu ya juu kuanzia shahada hadi uzamivu, mlipohitimu vyeti vyenu vya huko nje mlivipeleka ofisi/ mamlaka ipi ili kutambulika na nchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom