Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
UNYONYAJI Mkubwa Kwenye miito ya simu(caller tunes) sasa hauvumiliki tena.. Kuna unyonyaji wa waziwazi ambao umekithiri kiasi sasa nadhani iwepo hoja ya Kupiga marufuku caller tunes hizi..
Mfano TiGO ambayo Kwa sasa Ina active members milioni 3.4(online members achilia wadau wengine Wanaotembea Na vichip. Takwimu zao zinaonyesha 75% wamejiunga Na TiGO beatz, (TiGO beatz ni mlio mbadala anaousikia mteja akikupigia cm ambao hupatikana Kwa kujisajili Kwa kutuma silabi Za wimbo kwenda namba ya kampuni sajilio mfano 15050, au kubonyeza kitufe Cha reli wakati wimbo ukiita Na mojakwamoja unaunganishwa Na mlio unaoupenda)
unyonyaji huu uko Kwenye maeneo mawili..
KWANZA:- Kila unapojiunga(download) moja Unakatwa kiasi Cha Tsh 320, Na hii hudumu Kwa miezi miwili Na kukatwa tena, mgawanyo wa mapato ni wa ajabu sana.
Customer mwenye collar tune yake haipeleki TiGO direct, huipeleka Kwenye kampuni lililojisajili Na TiGO Kama wakala wa huduma. Na mgawanyo Wa Tsh 320 uko hivi
1. Kampuni(TiGO) huchukua 70% ya 320 =224
2: Wakala hujinyakulia 20% =64
3: Mteja& Msanii (mwenye caller tune yake ) 10%= 32.
Lakini Bado haitoshi mteja au msanii huyu mwenye caller Tune yake bado hapewi hiyo 10% Yaani Tsh 32, Bado inaundergoes makato lukuki ya VAT Na charges mbalimbali Na at the very end anaambulia Tshs 22.4.. Jamani Watanzania huu si Unyonyaji Wa waziwazi, mteja au Msanii aliyetoa Kazi ya jasho lake itumike Kama Beatz Kwenye milio ya Cm aje kunufaika Kwa Tsh 22.4 out of 320 inayokatwa Kwa watumiaji?!?.. Si haki Hata kidogo ni Unyonyaji..ukiuliza unapewa majibu laini kwamba Hata hiyo 22.4 kaifanyia Kazi gani?, no SIO uungwana, msanii kafanya Kazi kwenye kipaji chake, akatengeneza wimbo husika Na mteja akaununua miongoni mwa maelefu ya nyimbo huwezi kuipuuza bidii yake ni kumvunjia heshima..imagine Kama wimbo una peak download ya watumiaji laki moja (100,000) embu ona mgawanyo
1. TiGO) huchukua 70% =224x100,000 = 22,400,000
2: Wakala 20% =64x100,000 = 6,400,000
3: Msanii 10%= 32 (VAT&Charges ) 22.4= 2,240,000
PILI: Wizi mwingine wa kutisha umejichomoza Kwenye makato ya hizi TIGO beatz Kwa siku, kila siku mteja alikatwa Tshs35 lakini sasa imeongezeka Na kufikia Tshs45.. Jamani imagine Kila siku Unakatwa Tshs45 Kama Sijui Ushuru wa Wimbo au ni nini, Na Makato haya Hayana uhusiano Na Wakala Wala Msanii ni Mali ya TiGO PEKEE.. Imagine Kwa 75% ya active customers wa TiGO 3.4 millioni ambao wamejiunga Na hizi Beatz ni Kama raia Milioni 2.55 Na kila Raia kila siku anakatwa Tsh 45 tunapataje
45 x 2,550,000 = 114,750,000..
Milioni 114,750,000 kila siku TiGO hujikusanyia kilainii kutoka kwetu ambapo Kwa mwezi kiasi Cha 3.5billion hukusanywa pasipo Kazi Wala jasho lolote. Huu kama SIO unyonyaji ni nipe tafsiri yake nyingine.. Na mbaya zaidi Maskini ya mungu Watanzania wengi hawajui hili .
Nimetoa mfano wa TiGO lakini makampuni yote yako Na muondoko huu huu, mbaya zaidi wakulima wengi hawajui hii, Kama umejiunga Na Caller tune zaidi ya moja Basi wewe kila baada ya miezi miwili unafyekwa 320 Kwa kila wimbo, manake kuna wenzangunamie kila akisikia wimbo mzuri Huyoo amebofya alama ya reli anajijazia hazi miito 10 hivi ujue huyo kila baada ya siku 60 anafyekwa 3,200 .. Ukiweka salio unashangaa limefyekwa Wala hawakwambii KWANINI hadi ukamilishe 3,200 ndipo unapata MSG Kwamba umetozwa tsh3,200 Kwa miito yako MSG ambazo wakulima wengi huzidelete Wala hakuna mwenye muda nazo..
Ifike Muda sasa tukatae unyonyaji huu, wasanii wananyonywa sana, wakulima wanakubali kukatwa hela zao wakijua zitawanufaisha wasanii wao kumbe kuna usanii mwingine unachakachua Kazi zao.. Kama makampuni yanasingizia kipato hicho ni Kwa ajili ya uendeshaji wa mitambo mbona awali waliendesha mitambo Yao Kwa ufanisi kabla ya haya ma milio kuingia sokoni.. KWANINI lakini..!?