No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,829
Hivi ni lazima kila mtu humu jukwaani awe mwanasiasa,hivi ni lazima kila uzi humu ndani uhusishwe na siasa watu wanashindwa kuzuia mihemko yao humu tunajua wengine mko kazini ila tunashusha hadhi ya jukwaa.mnakera sana halafu mnashindwa hata kujiongeza mtu unashadadia siasa tangu upo kijana mpaka unazeeka hakuna faida ni hasara tuu mnapoteza muda,kama umeamua kujikita kwenye siasa ni wewe usilazimishe wote tuwe hivyo.