conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 838
- 715
Nilikutana nae enzi Za kuvaa shart jeupe na suruali jeusi,viatu ama vyeusi au vyekundu, huo Ndo ulikuwa utaratibu wa joining instructions ya wakati huo, sura nyingi zilionyesha wazi wengi tunauzoefu wa kulima nyanya, migomba,kahawa,maharagwe..ingawa alikuwepo pia wakina J. Hizza, Shemetwa wachache mno mwaka huo, rafiki yangu BOI hawakuwa na mwili mkubwa..wengi walioonekana tunalingana..ingawa namkumbuka SHALLA SITA, na Chibabu kutokea mikoa ya pamba walikuwa wamekomaa Ubongo na mwili..pia warefu kwelikweli..Kiswahili mwana kwa huyu boi hakikuwa shida Labda tu baadhi ya maneno KI /CHI yalimpa taabu Sana mfano "nitakushughulikia KIKAMILIFU anasema "NITAKUSHUGHULIKIA Chikamilifu" .
Hata hivyo BOI alianza kuyazoea Mazingira na watu wake ..akaanza kujua bweni la RWENZORI,URUGURU, KILIMANJARO..hata kujua what agriculture , Civics, LUE,..nk..Changamoto mwaka BOI ataondoka miaka minne badae wimbo wa taifa kwa kingeleza ulimpa tabu Sana sijuhi Kama MATESO ENOS aliendelea kuukariri pamoja pamoja na kumkuta HEAD BOY mmoja wa KIKURYA...alikiwa kidato cha tano...mkali balaaa Hata hivyo Wengine baada ya kushindwa kuuimbia kwa maneno ukawa tunatumia miruzi..kuukabiri wimbo..ndo hapo nikambuka rafiki ya MEDARD ANDREW,Bishubo,Rama Sudi, revocatus Robert, NIKAKUMBUKA ULINZI..Isaac NCHUNDA, BYERA BIKOMBO..Nikikumbuka msikiti ulipokuwa kule uwanjani..nikakumbuka tulivyopanda miti Leo sijuhi bado ipo..pia nikamkumbuka marehemu RUTANJUKA mkuu wa shule wakat huo..na mwisho kabisa nikakutatana na rafiki yangu GREY M. Leo Ni mwanamziiki mzur Sana tulipokutana Kwenye boat ya kwenda Zanziber akanambia niingie you tube nitafute wimbo wake wa Mr HAPANA.
pia akanambia February 2018 atatoa wimbo mpya utakao ongelea RAFIKI YAKE aneyeitwa BROTHERS OF IHUNGO 97 (BOI'97). ..leo Ni miaka 17 tangu rafiki zangu boi tuyaache maisha ya bweni.mko wapi Leo?