Rais Magufuli ateta na Humphrey Polepole na haya ndio aliyosema

1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
741
535
8bb0d4d43ece8cfddf1d8651c53c824a.jpg


Kwa mujibu wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu.
 
Kuna mbunge mmoja wa jimbo moja masikini sana pale Dodoma alitumwa apime upepo wanamkana sasa baada ya mjadala kupokelewa vibaya. Ni kama vile wanavyojitekenya na kucheka wenyewe kuwa wanaohama vyama "wanampenda". Anataka sana tu miaka saba sema naye kashakuwa bongo movie na filamu alizocheza ni nyingi.
 
Back
Top Bottom