Ajira za universities hasa kwa wahadhiri wa faculty za sayansi inabidi zitolewe pia interview za real practical , make baadhi ya malecturer wanakuwa na GPA kubwa lakini kudeliver vtu hawawez...
TAKRIBAN watu milioni 30 nchini Tanzania wanatumia simu za viganjani na haiwezi kupita siku bila kuangalia vioo vya simu zao, iwe ni kuchapa ujumbe wa maneno, kusoma ujumbe wa maneno na video na...
Li nchi kubwa sana hili.. Ukifikirisha ubongo mengi tunayo yasikia hayapo kwenye uhalisia.
Kipindi Sokoine akiwa PM alikuwa na nguvu sana kuliko Nyerere..alikuwa maarufu sana na kipenzi cha watu...
Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha dk 45 ITV jumatatu hakiswii kama ilivyo ada
Wafanyabiashara Walipewa Siku Tatu Na Waziri Mkuu Wawe Wameshayatoa Mafuta Yote Ya Kupikia Waliyodaiwa Kuwa Wameyaficha Na Kuhakikisha Bei Inashuka, Nadhani Siku Tatu Zimekamilika Jana, Vipi Huko...
Tukio hili limetokea katika kijiji kimoja kilichopo katika wilaya ya MEATU, mkoani SIMIYU. Kijana mmoja amefikishwa mbele ya kikosi cha ulinzi wa jadi SUNGUSUNGU baada ya...
Habari za jioni,
Napenda sana kujifunza keyboard (kinanda) na nimedhamiria kununua kimoja kwa ajili ya kujifunzia nyumbani
Sasa nilikuwa naomba mwongozo wa kupata keyboard nzuri bajet...
Kila Mtanzania ana haki ya kupata hati ya kumiliki nyumba au ardhi, vitu ambavyo vinaweza kumsaidia baadae kupata mikopo katika taasisi za Serikali au binafsi.Lakini hadi sasa ni asilimia kumi na...
Mtu anawekeza pesa yake kwenye biashara anayoiona inafaa kumlipa faida.Sasa Chakushangaza anabeba jamaa zake kutoka kijijini eti waje kusimamia biashara zake wakati hata lugha ya biashara hawajui...
*13/5/2018*
Katika Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa *Dar es Salaam* Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg Tabia Maulid Mwita(Mnec)* Amewapongeza Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu kwa...
Habari wana JamiiForums.
Kwa uzoefu mdogo nilio nao ngoja leo niache uvivu na niyaongelee majiji mawili makubwa na pendwa hapa Afrika mashariki yaani DAR ES SALAAM NA NAIROBI. Nitayaongelea majiji...
..hii sijui imekaaje.
..sheria inasemaje kuhusu masuala yenye utata kama haya?.
Wazungu waliozuia Wimbo wa Taifa kutimuliwa
Serikali imesema itawafukuza nchini wazungu wa madhehebu ya...
Kwenye michezo kiujumla hatumo, sio mpira wa miguu wala riadha.YAani sisi wa kupigwa 7-0.
Kwenye maendeleo hatumo, bado ni maskini wa kutupwa na hata baada ya miaka 54 ya uhuru, Uchumi wetu ni...
Tangu sa 6 niko hospital mpaka sasa na vichanga vya miezi 4, daktari hana habari hata na mimi despite ya kumchimba mkwara
Yuko bize na kutibu wazee na watu umri wa kati
Natamani kummeza kila...
R.O.MA
1.(Watu wa Tanzania) Maafande hawaanaga peace niko Kenya nko tungi nala mrungi na polisi Usi download pornigraph kwa wifi ya msikiti.
STAMINA
2.Bize natua show collabo o za nchi za kati...
Leo ni siku ambayo duniani kote tunawakumbuka na kuwaenzi mama zetu. Sote tumezaliwa na mama zetu. Hata kama wapo wachache ambao kwa bahati mbaya, kwa sababu hii au ile hawakuwahi kuonja upendo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.