Harufu ya vita ya kichawi mkoani Simiyu

Harufu ya vita ya kichawi mkoani Simiyu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,837
Tukio hili limetokea katika kijiji kimoja kilichopo katika wilaya ya MEATU, mkoani SIMIYU. Kijana mmoja amefikishwa mbele ya kikosi cha ulinzi wa jadi SUNGUSUNGU baada ya kukiri kutumwa kumchota nyayo kijana mwingine ambae ni mtoto wa marehemu Mwenyekiti wa kijiji hicho.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya kijiji hicho kimeniambia kuwa kijana aliye nusurika kuchotwa unyayo amenukuliwa akisema :

" Amemuua baba kisa alishindwa kura za uenyekiti wa kijiji na bado anatafuta kunichota nyayo na kipande cha nguo ya marehemu "

Akifunguka kuhusu chanzo cha kukamatwa kwa kijana alietumwa kumchota unyayo kijana huyo anasema :

" Kulikuwa na kijana alimuahidi aje kuchota mchanga huo alimpe 10elfu, kijana huyo akaja kwangu nikamnunulia bia 2 za urafiki, sikujua kinacho endelea akaniambia unajua wewe ni rafiki yangu sana hebu nipe 15elfu nikwambie siri kubwa ambayo hujawahi kuambiwa na mtu na kama unajua kusoma nikupe usome karatasi flan hatar kwako kuhusu baba ako.

Nikampa alivo itoa nikaisoma nikampeleka kwa kamanda wa sungusungu amehojiwa na wananchi kuhusu karatasi iliyoandikwa mchanga, kipande hicho akakosa jibu.

Kijana huyo anaendelea kusema " Watu wengi walisema huyu kijana na anaewindwa ambae ni mimi tupo hatarini... Mwisho wa kunukuu.

N.B : Kuhusu mwandiko nimeandika kama ulivyo andikwa na mhusika..
 
Katika mikoa amboyo hakuishiwi tukio kila siku hapa tz ni pamoja na huo wa simiyu
 
Hasa matukio ya uchawi na wachawi.. Nimekaa sana huko wakati nafanya research kuhusu misukule.. Kule kuna wachawi bana asikwambie mtu... watu wanapigwa ndele sana kule. it is something else
Ulikua unafanya Research ya misukule kivip mkuu weka kidogo nyama hapo
 
Niliwahi weka uzi hapa kitambo nataka kufanya research kuhusu uchawi. Moja kati ya vitu nilivyo taka kuvifanyia research ni kuhusu misukule. so nikaambiwa simiyu was the relevant place.. Just to know about misukule, why misukule, how misukule, and how to get rid of it..
 
Ko ulileta report ya research yako
 
Niliwahi weka uzi hapa kitambo nataka kufanya research kuhusu uchawi. Moja kati ya vitu nilivyo taka kuvifanyia research ni kuhusu misukule. so nikaambiwa simiyu was the relevant place.. Just to know about misukule, why misukule, how misukule, and how to get rid of it..
Ujipange bro kufuatilia issue za hivyo ni hatariiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanaoamini ushirikina na uchawi ni wapuuzi sana... sasa huo mchanga ukichotwa ndio nini.....hivi huu ujinga utaisha lini??
Kama uchawi upo kwa nini tusiwaroge walioshikilia bomberdier yetu canada...au tukawaroga hawa wanaoiba rasilimali zetu...au hata mzee chenge kwa aliyotuibia vyote tukampoteza tu..
Huo uchawi arogwe mwenyekiti wa kijiji tu...bullshit
 
Ni hatari sana mkuu ila uchawi nao una miiko, mipaka na taratibu zake
 
Back
Top Bottom