Mafuta ya kula bado ni shida mtaani

Mafuta ya kula bado ni shida mtaani

Pozzers

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
337
Reaction score
560
Wafanyabiashara Walipewa Siku Tatu Na Waziri Mkuu Wawe Wameshayatoa Mafuta Yote Ya Kupikia Waliyodaiwa Kuwa Wameyaficha Na Kuhakikisha Bei Inashuka, Nadhani Siku Tatu Zimekamilika Jana, Vipi Huko Ulipo Mafuta Ya Kupikia Yameshashuka Bei?
 
Kama siku tatu zimeisha .......we subiri watakipata cha mtema kuni unachezea awamu ya tano
 
Wanataka tu kuwapora watu Mali zao kwa kisingizio wameficha huko ruvuma tayari wameanza figisu
 
Kwetu hakuna shida yamejaa mtaani na viwandani ni pesa yako.
 
Back
Top Bottom