Mpaka jana tarehe 30.7.2017 ni Makampuni matatu ya Mawasiliano pekee ndiyo hayajaonesha Ushirikiano wa kujiunga katika Mfumo wa kulipa kodi Kielekroniki kama Rais wa Tanzania Dr. Magufuli alivyo...
Mapema wiki hii historia ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel uliingia katika sura mpya. Dunia imeshuhudia Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dk Augustine Mahiga akifungua...
Kuna rafiki yangu jana kanisimulia inshu nikabaki naduwaa sijajua cha kumshauri
Jamaa ana demu wake wanapendana wenyewe tangu 2006 na mwakani wanaoana, honestly kashemeji ni kazuri balaa kana...
BWAWA la Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, limejaa maji kupita uwezo wake na kutapika hivyo kuhatarisha maisha ya wakazi wanaoishi jirani.
Maji kwa sasa katika bwawa hilo...
Utata uliojitokeza katika consignment ya mafuta iliyokwama bandarini siyo wa kuupuuza.
Nimemsikia waziri Mwijage akisema kuna taarifa tofauti kati ya TBS wakisema ni ghafi na TRA wakidai...
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kutokana na wanadamu kuogopa kifo lakini ilikuwa tofauti kwa mzee David Goodal aliyekuwa na umri wa miaka 104 aliposafiri kutoka Australia mpaka Switzeland kwa...
TAHADHARI
Kuna kampuni wanajiita Street knowledge sk
Wanadai wanaagiza Magari, spares parts na accessories nyingine kutoka Japan
Wanalipwa pesa na watu na vitu hawaleti ukiulizia vitu mzigo wako...
Kuna huu utapeli ambao umezagaa sana mitandaoni wa kuwataka watu watume hela kwenye namba fulani, mara kuna mganga kanisaidia, mara nafanya biashara ya madini, kugawa bonus n.k.
Kweli kuna...
Ili serikali ipate mapato mengi na kuinua kipato cha wananchi wake,inatakiwa ijenge kiwanda kitakachozalisha mafuta ya korosho(Cashew Nut Shell liquid) uzalishaji wake ni rahisi sana,kwan Boiling...
Kupishana huku kwenye gwaride kuna kitu hakipo sawa Either uvivu, dharau, makusudi, ama mafunzo hafifu
Sifa ya askari kupimwa nidhamu ni kwata na raha ya kwata vitendo viende sawa anyway napita tu.
Manispaa ya Kigoma/Ujiji ni moja ya Manispaa ambayo utendaji wake wa kazi ni wa kushangaza sana kwani mambo yake yote ni ya kiholelaholela tuu ukianzia vyanzo vya mapato, stahiki za watumishi pia...
Kutakuwa na adhabu nyingi mashuleni hasa za fimbo hapa na pale,kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana. Pia kutakuwa na ongezeko la walimu watakao sinzia hasa nyakati za mchana kutokana na stress za...
Kuna mtu ametaka kuelekezwa jinsi RSA inavyofanya kazi. Nami namjibu kama ifuatavyo:
*TAARIFA*
Kwanza, mwananchi yeyote aliyeko barabarani, ndani au nje ya gari anaona tukio la uvunjifu wa sheria...
Nikiwa natokea zangu asubuhi kutoka maili moja nikiwa kwenye IST yangu na kamvua kananyesha kwenda viwanja, kufika maeneo ya Kwa Yusufu Mbezi nikakutana na barrier ya trafic wakikagua magari...
Kwa sasa cement mkoani Geita imekuwa ya kukimbilia,mfuko mmoja wa cement unauzwa elf 20. chanzo halisi cha kuadimika kwa cement Geita hakijulikani,anayefahamu atujuze hapa,pia serikali isaidie kwa...
Baadhi ya mabweni ya Shule ya Sekondari ya St. Joseph Rutabo iliyopo Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera yanaungua moto muda huu, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amempongeza Mtanzania anayeishi Marekani, Mange Kimambi kwa maelezo kuwa ameipongeza Serikali.
Mambosasa ametoa kauli hiyo leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.