Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Napenda kufahamu wakuu jinsi ya kupata au kujuzwa mahali kilipo chuo cha bandari Kwa kijana mwenye pass zinazofikia tank ( c na d) kwa kidato cha NNE Fomu zao na hata ikiwezekana kupewa contacts...
1 Reactions
0 Replies
581 Views
Wakuu jamani hii network ya TTCL mbona siielewi yani kila baada ya Dk. 10 network inakata yani mpaka utoe line halafu uirudishe tena. Juzi mpaka nikashindwa kutumia zile 10GB zao za usiku kutokana...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nyumbu katika ubora wake. Karibu ujionee. Kwa hisani ya Kruger Sightings ==== Hannes Joubert, from Polokwane, tells Latestsightings.com: “We went to the park on the 26 April 2018 for the long...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE Kuna wengi tu wame...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana jioni nimenunua umeme kwa tigopesa hela imekatwa lakini sijapata token hadi leo. Nimejaribu kwa airtel money pia imegoma hivyo kupelekea kulala gizani bila kutarajia. Inasikitisha mno...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mufti Sheikh Zuberi mbona hueleweki? Masheikh wa uamsho wamekuwa kizuizini miaka zaidi miaka minne; mbona huguswi na kadhia hii ya waumini wako kuwekwa lupango bila ya wewe mwenyewe binafsi ama...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Mshtakiwa wa kesi ya mauaji PI 79,2018, William Marwa (50) anayedaiwa kumuua ndugu wa Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche mnamo April 27,2018 kesi hiyo imepigwa kalenda hadi Mei 29...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimestuka Jana nimefika kutembelea jamaa nyumba za urafiki pale Ubungo, nikashangaa kusikia toka mwezi wa 12 wafanyakazi walipumzishwa likizo, hii Leo tunaenda June bado hakuna dalili za kuitwa...
4 Reactions
22 Replies
7K Views
Diwani wa Kata ya Themi Jijini Arusha Mh. Melance Kinabo ameungana na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Maonesho ya Mahafali ya watoto walifuzu mafunzo ya Quran TakatifuTakatifu hafla...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kuelezwa na wanaofahamu martenity hospital ni kitu gani na kwa hapa kwetu Tanzania vigezo gani vinahitajika ili kuweza kumiliki marternity hospital..naombeni sana mchango wenu wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
[emoji121] Hii kitu inanishangaza, Unakuta sote tuko mid 20s ila mimi wananiita dogo, Na kuna wakati wanaweza kuja watoto sehemu tulipo mimi na washkaji wengine- Wanapotusalimia, wenzangu...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Huu ugonjwa naona unazidi kushika kasi zama hizi na tumegundua mode of transmission ya ugonjwa huu ni kwa njia ya hewa (media) na kijidudu kinachosabanisha ugonjwa huu "pathogen" ni "election...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, Naomba msaada, Kwa wastani gharama za ufundi wa nyumba ya vyumba 4 kwa standard ya kawaida kuanzia kwenye kupandisha ukuta hadi kukamilisha lenta, je gharama za ufundi uwa ni shilingi...
1 Reactions
17 Replies
15K Views
ILI KUPATA FEDHA LAZIMA UWE NA KITU CHA KUUZA.” Bila kumung’unya maneno, nafikiri wote tutakubaliana na tafsiri ya fedha kama njia ya kubadilishana bidhaa au huduma baina ya mtu mmoja na mwingine...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanza. Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imepitisha faini ya Sh300,000 kwa mfugaji atakayebainika kupitisha mifugo barabara kuu. Akizungumza na kamati ya maendeleo ya kata za...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimeukuta huu mjadala mahali, nchi nilizosikia zikitajwa sana na wabishani hao ni hizi nne; Ujerumani India China Cuba Sana nimeshangazwa na waliokuwa wanaing'ang'ania Cuba ambayo kwa fikra zangu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza familia za askari waliouawa wakilinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kumaliza haraka taratibu za mirathi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zaidi ya wafanyakazi hamsini(50) wa Baraza Kuu la waislamu Tanzania(BAKWATA) Makao Makuu jijini Dar es salaam hawajalipwa mishahara yao kwa Miezi kumi na moja(11) sasa. Jitihada za kuwapata...
9 Reactions
74 Replies
14K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimetafakari saana hata Rais aliyepo aliapa akichaguliwa atashughulika na mwenge ila tulipomchagua akastopisha sherehe za muungano watu wakafanya usafi na hela...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom