Onyo kali kwa polisi atakayekula rushwa

Onyo kali kwa polisi atakayekula rushwa

Nakubaliana na Madam Afande kuwa Jeshi la Polisi ni la watu waadilifu na wenye weledi.Tatizo ni wachache sana jeshini humo.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,, tangu nizaliwe mpaka leo,, sijaona polisi muadilifu kabisa,, wote wamejaa mambo ya kuuzi, rushwa kubambikia kesi,, kutumika kisiasa na mengine mengi ya ovyo ovyo.
 
Hakuna kazi ngumu kwa police wa ki tz kama kutopokea rushwa, na kuacha mizengwe ya kubambikizia kesi
 
Kwa onyo hili ila bado utakuta kuna askari wanakula rushwa


Wanakuja na onyo wakiwa wamebuni mbinu mpya za kula rushwa, ni wajanja sana, mpaka mkashituke watakuwa wamewakamua upepo balaa
 
Back
Top Bottom