Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mtu tulikuwa tukifanya mjadala hapa jf kasema moja ya biashara na baadhi ya shughuli kufeli awamu hii wengi walikuwa wapiga dili Hebu tuanzie hapo kwa wapiga dili Sasa awamu ya nne...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Yafuatayo yanaelezea uwezekano Wa tz ya viwanda Miundombinu mingi imara Mradi Wa stiglers gorge Songosongo/mtwara gas Ugunduzi Wa mafuta lake Nyasa,rufiji na Tanganyika Helium gas only in German n...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Ninaona sasa kuna ongezeko la kutisha la watu mahakamani.Mahakama zinafurika.Nimejiuliza mambo mengi kwa kuwa nilitegemea kutokana na kasi ya sasa hivi viashiria vya wateja wa mahakama kushuka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Calculations Mtu ana gar dogo, naishi kigambon, ila anafanya kaz bandalin au mjin tuseme, analipwa 800000# na kutokana na makato anapata 600000# ana familia pia Njia fupi ya kuwahi kazin ni kupita...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Moja ya kilichochangia kampuni ya Vodacom kupata ni kutokana na mauzi ya data ambayo yameongezeka kwa asilimia 34 na kupelekea faida ya zaida ya shiling bilioni 141. Ni wazi watumiaji wa simu...
1 Reactions
3 Replies
889 Views
Wanabodi Wanasheria wanakawaida ya kuyatenga au kuyagawa makosa katika makundi mfano, Makosa ya Jinai, Makosa ya Madai na au Makosa ya Kikatiba. Mimi ninao theory yangu inayo jitegemea ambayo ni...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kusaidia wananchi matatizo ya usafiri kutokana na mvua hizi,Eneo la kivule halipitiki kwa gari kutokana na daraja la awali kusombwa na mvua na jipya halijakamilika. Kuliko Jeshi letu kusubiria...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natazama baraza la wawakilishi hapa Mada kwa mada,yaani inapendeza sana,ni kama kuna maswali inaulizwa of isi ya Rais kupitia kwa spika
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Asbh hii nawahi kibaruani, hali ya barabara ni mbaya, na hapa ndo Jiji linalokua kwa haraka, 1. Miradi ya ujenzi wa flyovers iletwe hapa 2. Madiwani na wabunge njooni sasa mboreshe barabara...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani hadi mnatia kero sasa na ukaaji wenu hadi sisi tunaipishana na hizi pikipiki tunashindwa kuelewa alopakiwa ni kilemaaa au ni mgonjwa labda au jipu la takoni au ana dozi ya sindano labda...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
NITAJUAJE KAMA BADO NINAVIFUNGO ( HOW DO I KNOW IF AM POSSESED) Nimerudia Tena ujumbe huu kutokana na watu wengi walioonyeaha uhitaji wa Huduma ya ukombozi NI SWALI LA MUHIMU AMBALO KILA MKRISTO...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Wadau ongera kwa elimu nzuri mnazo toa kwa jamii
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Unataka kuniambia kuwa nilipoteza muda wangu mpaka saa 4 ya usiku nikulinda kura zako pale Msigani ili usiibiwe. Siamini kama huyu Kisena anaweza kukuweka mfukoni kiasi hicho wakazi wako...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jamiiforums kuna jambo la muhimu kwa watumiaji wa mtandao wa tigo nataka kushare nanyi ukipigiwa simu na huduma kwa wateja wa tigo kuhusu huduma yoyote na wakakwambia bonyeza kitufe chochote...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna ng'ombe 15 wamekutwa wamekufa kwenye gari tayari wamechunwa. Waliokuwa na ng'ombe wamekimbia na kulitosa gari la Machinjio ya Tegeta kwa ndevu kwenye nyaya za kwenda Zanzibar. Jeshi la...
2 Reactions
76 Replies
13K Views
Yaani hapa anatafutwa mbaya
0 Reactions
28 Replies
3K Views
NIMEDHULUMIWA MAKAZI YANGU NA BW. IBRAHIM ARON, MTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA NIKIWA CHUONI. Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha Nduu kata ya Kijota tarafa ya Mtinko, mkoa...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Toka mvua zianze kunyesha mwezi April kama sijakosea na baada ya daraja la zamani kubomolewa hali imekua mbaya mnooo kwa wananchi wanaoingia na kutoka Kivule iliyoko Manispaa ya Ilala hali...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni gazeti la Habari leo tu ndio ambalo hii imekuwa habari kuu magazeti mengine yakiwa hayajaandika kabisa habari hiyo. Kwa mfano, Mwananchi, Nipashe,The Citizen na The Guardian hii habari...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kauli mbalimbali kuwa Rais Jpm anajipendelea sana kimaendeleo kwenye eneo alilo zaliwa kuliko Marais wote ambao wamewahi kuwa Marais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Njooni...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom