Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, habari zenu Naomba maoni yenu Je ATCL ni shirika la Muungano? Nafasi ya Zanzibar ni ipi kwenye biashara ya kukopeshana?, Nijuze kwa wajuwao.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MWANADAMU ANAJIVUNIA NINI? Nimekuwa najiuliza swali hili miaka mingi sana, na pengine ndilo lilikuwa swali lililonipa maamuzi ya kuona namhitaji Yesu kuwa mwokozi wangu. Sijui kama nawe umewahi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Mh. William Olenasha, ameagiza kukamatwa kwa mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Loliondo, Erick Kalaliche, kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wake wa kidato cha tatu ambaye kwa sasa amehamia mkoa wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi kwenye kata mbili mpya na kuahirisha uchaguzi wa kata nyingine nne. Mabadiliko hayo yanafanya jumla ya kata zenye uchaguzi kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba mnisaidie kuhusu Madaraja wakati wa kutoka kama matangazo ya ajira utaona wameandika hivi kwa mfano. 1.Daktari daraja la 2 2.Mtaalamu wa maabara daraja la 3 3.Nurse...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Sinota au Sino-Tanzania Joint Shipping Line. Na bado tunaendelea kuwakaribisha. Tu wagumu kujifunza.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hope mko poa Naombeni kwa aliewahi kuona au kutumia body toning katika kupunguza tumbo au kitu chochote katika mwili aniambie kama kweli inafanya kazi kama inavyotangazwa. Mimi nina tumbo kubwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya kupata ATN na WRM chanel za TV kwa kutumia Kingamuzi cha Star times
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Imetokea sintofahamu hapa mtaani kwetu jamaa alikuwa anaishi na mwenza wake sasa mwenza amefariki ndugu wamekuja juu wanataka aoe maiti. Siku zote hizo mlikuwa wapi kwenda kudai Mahari mpaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za uhakika kabisa toka igawilo mbeya, zinasema kuna ajali imetokea mda huu eneo lile lile ambalo ajali ya juzi iliyoua watu wanne ilitokea... Nakuja na update zaidi pamoja na picha...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kuna mzee mstaafu mmoja alinitembelea ... wakati tunaongea na kujadili matatizo yaliyoko kwenye jamii yetu (watanzania) alinambia jambo moja kubwa sana. Alisema hivi ... Kijana ikitokea ukalijua...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo kwenye kipindi cha magazeti Clouds FM walikuwa na gazeti moja ikiwa wako Dar wakati Abood Radio wakiwa Morogoro walikuwa na magazeti lukuki. Je, wamekosa magazeti au makusudi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Bosi Wa wizara ya mambo ya ndani naenda kuwasalimia na kujitambulisha pale Magereza makao makuu,cha ajabu,ile ilani ndiyo kama msahafu,amesahau hata kulinda na kutembea na katiba ya nchi. Sijui...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Historia ya Tanzania inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nchi ina mabaki ya kale sana ya zamadamu (kiumbe aliyekaribiana na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
naamin sijavunja sheria za mtandao kwa kuweka ushauri huu. ila nina wasiwasi kama mamlaka husika utawafikia.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huko nchini Thailand, timu ya watoto wachezaji mpira waliamu kufanya matembezi ya utalii wa ndani baada ya mazoezi yao ya mpira wa miguu katika moja ya mapango maarufu huko kwao. Wakiwa na...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Duuh ! Madaktari hii inawezekanaje medically au ni miujiza ya Mungu !! . Pichani mwanadada huyo wa Nigeria baada ya kukaa miaka 12 kwenye ndoa bila kupata mtoto. Mwaka huu mwezi March aliweza...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi, Eneo linauzwa, liko maeneo ya Moshi linapakana na Barabara ya Kibosho na kwa chini ni barabara kuu ya Arusha---moshi, linafaa kwa kuishi na biashara...
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Binadamu amepewa akili ili zitumie kuwatiisha viumbe wengine .. Binadamu ni kiumbe teule ambacho kina uwezo mkubwa wa kuibadili dunia kuwa sehemu nzuri ya...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
sitaki kuingia kwenye uwanja wa chattle city au ununuzi wa ma bombadia na dreamliner ila kuna ishu nyingine tamuu ndogondogo zinapendeza zaidi haswa ukichukulia sio kama awamu ya tatu na ya tano...
0 Reactions
4 Replies
820 Views
Back
Top Bottom