Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau, Nimepigiwa simu na dogo akinisimulia kisa kilichotokea kazini kwao Leo asubuhi huko Arachuga. Anadai wamebaini camera ya siri ilotegeshwa choo chao cha wanaume. Wakamfahamisha...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
A New Air Tanzania Boeing 787-8 line 719 on the Boeing Everett flightline
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Neno ' paka ' au ' mapaka ' ni maneno yaliyozoeleka sana kusikika ukiwa Moshi na Arusha. Ukiwa Mjini au kwenye sehemu za starehe siku haipiti hujasikia neno ' paka ' . Vijana wanapenda sana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wapendwa wa JamiiForums. Nimekuwa natafuta anuani za wizara ya kazi na ajira za mjini Dodoma sijafanikiwa. Mwenye anuani za Sanduku la Barua za wizara hiyo Dodoma anisaidie tafadhalini.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
POLISI AMPIGA MAKOFI MTOTO MCHANGA MBEZI AFRIKANA. Leo nimeshuhudia tukio la ajabu ambalo limeniacha na mshangao mkubwa. Na kama hatua hazitachukuliwa basi nauona uhasama wa wazi kati ya jeshi la...
15 Reactions
123 Replies
15K Views
@NHC imekumbwa tena na kashfa nyingine iliyojaa wizi, ufisadi na mikataba mibovu na mwekezaji, kiasi cha kufanya TRA kukosa mapato yake. Mkataba huu wa majengo ya "Fayrouz Flats", mwekezaji...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mohamed Salah akiwa na wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Misri wakiwa kwenye Ndege kuelekea Urusi mapema leo, tayari kwa Fainali za Kombe la Dunia. Misri itafungua dimba na Uruguay kwenye...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
*LUKA 2:13-14 "Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema, Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia." Leo 10...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Acheni kabisa, maisha gani haya yasio na uhuru kwa nchi inayojinasibu hakuna dini? Wiki nzima nashindia tende, tena kwa kujificha hotenin.
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Unajua maana ya neno KISENGERE NYUMA? Kama ulikuwa hujui maana yake kwa Kizungu ni neno la REPLAY Kiswahili kitamu sana. Haya Watangazaji wa Tanzania nanyi anzeni kulitumia hilo neno la '...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo nimepanda basi moja linaitwa Princess Muro, kwa muonekano wa nje lina sura nzuri ila ndani limeshakongoroka na limegeuka kuwa makazi ya kunguni hali iliyonishawishi kuangalia lebo ya sumatra...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Rambo ambaye ni raia wa Burundi Kigoma. Mtuhumiwa wa ujambazi anayedaiwa kuteka magari na kunyang'anya mali za watu wanaotumia barabara ya Kisili - Buhigwe mkoani Kigoma maarufu kwa jina la...
2 Reactions
44 Replies
11K Views
NAIPONGEAZA GVT KWA HILI WALILOWAZA KUONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE ILA NAPENDA KUULIZA SWALI, JE KUONGEZA HUKU MISHAHARA KUTASAIDIA KUPUNGUZA AU KUZUIA MFUMUKO WA BEI???
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Wadau kwema? Za Weekend? Jana nilikua namsindikiza mtu kutafuta Nyumba ya Kupanga maeneo ya Sinza. Maeneo mengi hasa ile mitaa ya Lion kuja kama kwa Mwaibula na Sinza Darajani niliona Baadhi ya...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Asilimia kubwa watu wengi wenye vipaji hawana elimu na watu wenye elimu bora hawana vipaji,wakati kipaji kinapokupa utajiri ambao elimu haiwezi kukupa. Tofauti kati ya Elimu na Kipaji ni kwamba...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mwezi mtukufu kumalizika nina jambo la kuwakumbusha ndugu zangu waislamu. Nimevumilia nikiamini mtalisemea jambo hili lakini waaaapi,mmekuwa kimya kama vile...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
- Ubadhirifu wa fedha za wanafunzi masikini unaokadiriwa kuwa Zaidi ya billion 2. - Wanafunzi hulipishwa Tsh 200,000/= ya matibabu ya Bima ya NHIF huku gharama za bima ni Tsh 50,400/= - Ada...
9 Reactions
60 Replies
15K Views
Na minded tips ngoja niende kwenye mada moja kwa moja Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani...
3 Reactions
30 Replies
10K Views
Back
Top Bottom