toafauti na swali lililoulizwa. We unaleta ushabiki usio na maana. Mtoa hoja kahoji je shirika la atcl ni jambo la muungano au sio la muungano? Na kama jibu ni la muungano ipi nafasi ya zanzibar?Ni shirika ama unaweza sema ni taasisi ya serikali inayojitegemea kujiendesha yenyewe kibiashara kwa manufaa ya waTZ wote bara na visiwani.
Mluguru ruksa,mpemba ruksa,mndengereko ruksa kupanda.Hakuna ubaguzi.CUF,CDM,TLP,ACT,CCM,CHAUMMA,NLD wote wote ruksa kupanda.....ndo raha ya maendeleo..!!Hayachagui !!
Leta kwanza Mkataba wa Muungano tuuone ili tuangalie terms ands conditions zake zinasemajeWadau, habari zenu
Naomba maoni yenu
Je ATCL ni shirika la Muungano? Nafasi ya Zanzibar ni ipi kwenye biashara ya kukopeshana?, Nijuze kwa wajuwao.
View attachment 807429
Kilichoulizwa na jibu lako tofauti kabisa. Enzi za Dada Faiza Foxy alipenda kuuliza shule mlienda kusomea ujinga?Ni shirika ama unaweza sema ni taasisi ya serikali inayojitegemea kujiendesha yenyewe kibiashara kwa manufaa ya waTZ wote bara na visiwani.
Mluguru ruksa,mpemba ruksa,mndengereko ruksa kupanda.Hakuna ubaguzi.CUF,CDM,TLP,ACT,CCM,CHAUMMA,NLD wote wote ruksa kupanda.....ndo raha ya maendeleo..!!Hayachagui !!