Habari wadau
Mwezi wa sita nilifanya ziara binafsi kutoka Swax to Arusha via Iringa Dom kwa barabara.Nikiri it was amazing tour maana Tznia kwa sasa imepiga hatua miji imekua na barabara ni nzuri...
Maombi maalum kuzuia ajali Mbeya
AJALI za barabarani zilizofululiza mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 45 ndani ya mwezi mmoja na nusu, zimeamsha makundi mbalimbali ya kijamii na viongozi...
Ving'amuzi vingine vilitokea koromije wallah
Hivi watumiaji wa continental mnaishije huku duniani???
Mtu analipia kifurushi cha mwezi channel zinafunguliwa baada ya week 3 doooh
No signal kila...
Jogoo Silk aliyekuwa akiuzwa Sh 800,000 amenunuliwa kwa Sh 700,000 jana jioni.
Jogoo huyo alikuwa kivutio kikubwa katika banda la Jeshi la Kujenga Taifa, (JKT) katika maonyesho ya kimataifa ya...
Kwakuwa mmesema sana na baadhi ya mambo yakadhihirika kule viwanjani kwa baadhi ya mwewe wetu kupaki bila sevisi na bila taarifa ya faida ama hasara lakini neno moja tu likatamalaki kila siku...
Habari wakuu
Kuna bwana mdogo wangu ameitwa kwenye usaili wa nafasi ya "Senior monitoring and evaluation officer" kwenye mfuko wa barabara au road fund,angependa mwenye uzoefu wa mishahara ya hawa...
MWANADAMU ANAJIVUNIA NINI?
Nimekuwa najiuliza swali hili miaka mingi sana, na pengine ndilo lilikuwa swali lililonipa maamuzi ya kuona namhitaji Yesu kuwa mwokozi wangu. Sijui kama nawe umewahi...
Mh. William Olenasha, ameagiza kukamatwa kwa mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Loliondo, Erick Kalaliche, kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wake wa kidato cha tatu ambaye kwa sasa amehamia mkoa wa...
Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi kwenye kata mbili mpya na kuahirisha uchaguzi wa kata nyingine nne.
Mabadiliko hayo yanafanya jumla ya kata zenye uchaguzi kuwa...
Habari zenu wakuu.
Naomba mnisaidie kuhusu Madaraja wakati wa kutoka kama matangazo ya ajira utaona wameandika hivi kwa mfano.
1.Daktari daraja la 2
2.Mtaalamu wa maabara daraja la 3
3.Nurse...
Hope mko poa
Naombeni kwa aliewahi kuona au kutumia body toning katika kupunguza tumbo au kitu chochote katika mwili aniambie kama kweli inafanya kazi kama inavyotangazwa.
Mimi nina tumbo kubwa...
Imetokea sintofahamu hapa mtaani kwetu jamaa alikuwa anaishi na mwenza wake sasa mwenza amefariki ndugu wamekuja juu wanataka aoe maiti.
Siku zote hizo mlikuwa wapi kwenda kudai Mahari mpaka...
Habari za uhakika kabisa toka igawilo mbeya, zinasema kuna ajali imetokea mda huu eneo lile lile ambalo ajali ya juzi iliyoua watu wanne ilitokea...
Nakuja na update zaidi pamoja na picha...
Kuna mzee mstaafu mmoja alinitembelea ... wakati tunaongea na kujadili matatizo yaliyoko kwenye jamii yetu (watanzania) alinambia jambo moja kubwa sana. Alisema hivi ...
Kijana ikitokea ukalijua...
Leo kwenye kipindi cha magazeti Clouds FM walikuwa na gazeti moja ikiwa wako Dar wakati Abood Radio wakiwa Morogoro walikuwa na magazeti lukuki.
Je, wamekosa magazeti au makusudi?
Bosi Wa wizara ya mambo ya ndani naenda kuwasalimia na kujitambulisha pale Magereza makao makuu,cha ajabu,ile ilani ndiyo kama msahafu,amesahau hata kulinda na kutembea na katiba ya nchi.
Sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.