happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Hope mko poa
Naombeni kwa aliewahi kuona au kutumia body toning katika kupunguza tumbo au kitu chochote katika mwili aniambie kama kweli inafanya kazi kama inavyotangazwa.
Mimi nina tumbo kubwa nataka nipuguze mazoezi
Nakosa muda wa kufanya mazoezi kutokana na majukumu ya kifamilia aisee...Mwenye kujua anijuze wapendwa.