kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 400
- 472
Bosi Wa wizara ya mambo ya ndani naenda kuwasalimia na kujitambulisha pale Magereza makao makuu,cha ajabu,ile ilani ndiyo kama msahafu,amesahau hata kulinda na kutembea na katiba ya nchi.
Sijui kama anakosea au anapatia sana maana chama hicho kina wenyewe,kindakindaki,ingekuwa vema tumjulishe wenye kustahili kuzurura na ilani kila pahali. Je,jeshini kuna itikadi?
Sijui kama anakosea au anapatia sana maana chama hicho kina wenyewe,kindakindaki,ingekuwa vema tumjulishe wenye kustahili kuzurura na ilani kila pahali. Je,jeshini kuna itikadi?