Hawa jamaa hata nyimbo itakuwa wameishiwa.. Asubuhi kabla ya taarifa ya habati wamepiga nyimbo ya taifa, kitu ambacho nilitegemea kusikia nyimbo ya taifa ikipigwa au kuisikia redio kwenye matukio muhimu..
AhsanteNi wimbo wa Taifa ndugu
Wimbo wa taifa unapigwa kila sikuHawa jamaa hata nyimbo itakuwa wameishiwa.. Asubuhi kabla ya taarifa ya habati wamepiga nyimbo ya taifa, kitu ambacho nilitegemea kusikia nyimbo ya taifa ikipigwa au kuisikia redio kwenye matukio muhimu..
hajui huyo!Wimbo wa taifa unapigwa kila siku