Msaada ATN na WRM tv Chanel

Msaada ATN na WRM tv Chanel

BUDULU

Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
42
Reaction score
17
naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya kupata ATN na WRM chanel za TV kwa kutumia Kingamuzi cha Star times
 
kwa Azam Huwa hivi!
Ukibonyeza Ok itakuletea list ya channel
Halafu kama ile list haijafutika bonyeza right click kama unaongeza sauti ......itakuletea other channel Ndio Huwa nazikuta huko!

Hebu jaribu huenda ikawezekana na kwa star times
 
"Ngushi, "]kwa Azam

Asante nimejaribu lakini haijaleta hivyo.
 
Kwa star times hakuna namna ya kupata channel ambayo haipo kwenye list yao, mpaka watakapoiweka.
 
Kwa star times hakuna namna ya kupata channel ambayo haipo kwenye list yao, mpaka watakapoiweka.

ASANTE NASHUKURU
 
Back
Top Bottom