Dw.
Nchini Uganda, jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji ambao wanapinga tozo jipya la kodi kwa matumizi ya mitandao ya kijamii. Kodi hiyo inamlazimisha...
Nimepita hapa mtaa wa Garden na Chimara lilipo jengo hili la wizara ya mambo ya nje hapa jijini Dar es Salaam. Kwakeli kwa mtizamo wangu ni jengo hasaa! Si mchezo! Lakini maraa .. nikakumbuka...
Ulitegemea kipenga na kadi alivyopoteza refa vitoke wapi?
Mpambano unaendelea. Katikati ya mchezo,refa
anagundua kuwa amepoteza kadi-ya njano na
nyekundu pamoja na filimbi. Kutokana na kasi ya...
Nipo Iringa Mjini katikati kabisa mwa mji lakini hii kasi yenu ya Internet haiwahamasishi wengine "kurudi nyumbani" mnatia aibu.
Kudowload video hata ya Mb 2 nitatizo , Mb zaidi ya 10 ndio huwezi...
Ambulance ya hospitali ya Wilaya ya Tarime ambayo imekamatwa na Inspekta Nathaniel pamoja na timu yake usiku huu huko Bunda ikiwa imebeba Magunia ya Mirungi kama inavyoonekana wengine ni...
Kama ilivyo kawaida ya watu wengi walioshindwa maisha kuamini kwamba kwa njia ya kuwachafua wenzao ndio kufanikiwa kwao,tangu ujio wa ndege mpya iliyonunuliwa na serikali aina ya Boeing 787-8...
Waumini Tumekuwa msaada mkubwa katika ukuaji wa miradi mbalimbali iliyopo chini ya kanisa na Misikiti, Lakini tangu hizi dini zisambae hapa nchini kwetu, mbali na mambo ya kiroho, Uendeshaji wa...
Bill Nass kaandika maneno hayo hapo chini.
Mimi kama Mimi nikifanya Tangazo naweza Kufanya Tangazo kama William na Sio Bill Nass je Basata Bado watakuwa na wajibu wa Kudai na Wanadai kama nani...
Wabunge wa CCM wasiohudhuria vikao vya Bunge bila sababu za msingi kuanzia mwaka 2016 wanakabiliwa na hatua kali kutoka ndani ya chama hicho.
Hivi karibuni mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli...
TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na movement za soko huria. Nasema hivyo kwasababu mwaka 2010 walikuja kujaribu kuleta line za simu ya mkononi, na vocha zake kama ilivyo mitandao...
"Bodaboda dawa yenu inachemka, tutawafungia matela ya kubebea abiria na nyie mkae kwenye foleni kama bajaji na magari mengine. Matela haya yataleta utulivu barabarani lakini pia yatawaongezea tija...
Mwanahabari Jean Bigirimana wa Burundi alipotea tangu Julai 22 mwaka 2016 na hadi leo hajapatikana wala habari kuhusu yeye kusikika popote.
Bigirimana alikuwa mwandishi wa gazeti la kila wiki la...
Habari wadau
Mwezi wa sita nilifanya ziara binafsi kutoka Swax to Arusha via Iringa Dom kwa barabara.Nikiri it was amazing tour maana Tznia kwa sasa imepiga hatua miji imekua na barabara ni nzuri...
Maombi maalum kuzuia ajali Mbeya
AJALI za barabarani zilizofululiza mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 45 ndani ya mwezi mmoja na nusu, zimeamsha makundi mbalimbali ya kijamii na viongozi...
Ving'amuzi vingine vilitokea koromije wallah
Hivi watumiaji wa continental mnaishije huku duniani???
Mtu analipia kifurushi cha mwezi channel zinafunguliwa baada ya week 3 doooh
No signal kila...
Jogoo Silk aliyekuwa akiuzwa Sh 800,000 amenunuliwa kwa Sh 700,000 jana jioni.
Jogoo huyo alikuwa kivutio kikubwa katika banda la Jeshi la Kujenga Taifa, (JKT) katika maonyesho ya kimataifa ya...
Kwakuwa mmesema sana na baadhi ya mambo yakadhihirika kule viwanjani kwa baadhi ya mwewe wetu kupaki bila sevisi na bila taarifa ya faida ama hasara lakini neno moja tu likatamalaki kila siku...
Habari wakuu
Kuna bwana mdogo wangu ameitwa kwenye usaili wa nafasi ya "Senior monitoring and evaluation officer" kwenye mfuko wa barabara au road fund,angependa mwenye uzoefu wa mishahara ya hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.