Katika hii picha ni wachezaji wa ufaransa walipotwaa kombe la dunia 1998. Hawa wachezaji watatu wengi mtawafahamu kutoka kulia ni didier deuschamp, Patrick vieira aliyeshika kombe na Thierry Henry...
Kama mada inavyojieleza
Nina shida ya jino bandia manake nina pengo la mbele na jino langu la bandia nililokua nalitumia limetumbukia chooni wakati nalisafisha
Hapa nna pengo siongei vizuri...
-Pass with Div I form IV
-Pass with Div II form VI
-A B+ Average in Medical School (Doctor of Medicine)
-One year internship with a B+
-One year experience (Volunteer in A Consultancy Hospital)...
Watoto mapacha walioungana— Melnis na Anisia — wamepokelewa ktk kituo cha afya cha King Abdulaziz Medical City jijini Riyadh, Saudia ili kufanyiwa vipimo na kuangalia uwezekano wa kutenganishwa...
Wapendwa. Amani iwe nanyi. Poleni na hongereni kwa weekend.
Kitimoto ni chakula pendwa sana maeneo ya Moshi Mjini hasa sehemu za starehe kama bars / pubs /local restaurants n.k n.k. Wanywa pombe...
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Meru mkoani Arusha, imesema ni marufuku wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kwa wasichana kuvaa sketi fupi na wavulana kunyoa...
Wachawi wakiingia nyumbani kwa mtu kuwanga huwa hawachukui hata senti tano hata kama watakuta kuna mamilioni ya pesa yamezagaa kwenye kitanda au kwenye kabati.
Nyuma ya...
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua,
Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
[Ee BWANA, Mungu wangu,
Nalikulilia ukaniponya.
Umeniinua nafsi yangu,
Ee BWANA, kutoka kuzimu...
Leo tujadili suala la vijana wetu waliomaliza vyuo mbalimbali lakini hulalamika hawana kazi, mara wameomba sana hawapati kazi na mengineyo…
Kwanza ieleweke kabisa, Barua ya maombi (Covering...
Habarini za asubuhi wadau,hongereni kwa kupokea ndege mpya #tunatekeleza.
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu,jana nikiwa katika pita pita zangu mitaani kusaka riziki nikakutana na gari ya...
Vijana wengi sana wana simu za Android ambazo zinawasaidia kuperuzi vitu wakadha mtandaoni. Aidha, watanzania wengi wamekuwa hawazitumii simu zao ipasavyo katika muktadha wa kujikwamua na...
Nimekuwa nikiuliza hili swali lkn sijawahi kupata jibu stahiki, hivi Mbege iko KLM kote au ni baadhi ya maeneo tu? Yaani kila mahali Mkoa wa KLM kilevi chao ni Mbege?
Ajali mbaya imetokea mchana huu Useri Rombo, imehusisha gari la mzigo Fuso (tandam) imepasua tairi na kuanguka kwenye korongo.
Kondakta aliyetambulika kwa jina moja la James amefariki na dereva...
Kwenu UONGOZI wa TBC ,tokea mbadilishwe jina kutoka TVT hadi TBC ni zaidi ya miaka 10 sasa,lakini namna mnavyorusha matangazo yenu hamna tifauti kabisa na TVT,hakuna mlichobadilika hata kidogo...
In Nevada, USA, there is an airplane graveyard. They have thousands of planes there. Boeing 747, Airbus, military planes and even helicopters.
All these planes were flown there, so they are not...
Mkazi wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Nikodemu Johnson amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga na kumchoma kwa pasi ya umeme kijana mmoja mkazi wa Katesh.
Mshtakiwa alikana mashtaka hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.