Kampuni hii ilifia na kuzikwa wapi?

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
upload_2018-7-10_18-9-29.jpeg


Sinota au Sino-Tanzania Joint Shipping Line.

Na bado tunaendelea kuwakaribisha. Tu wagumu kujifunza.
 
nadhani ni kampuni ya kusambaza vyakula kwenye shughuli mbalimbali au sio mtoa post
 
Washkaji zangu wawili walipiga sinota.wakitoka na bomba miezi 9 wakirudi bongo utawasahau mabaharia shavu dodo.
 
Back
Top Bottom