Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
Binadamu amepewa akili ili zitumie kuwatiisha viumbe wengine ..
Binadamu ni kiumbe teule ambacho kina uwezo mkubwa wa kuibadili dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi.
Kama ni hivyo; inakuwaje binadamu (hasa Waafrika) wanaishi maisha sawa na wanyama. Kitendo cha mtoto mwenye umri wa kwenda shule kuanza maisha ya kushinda polini na mifugo ni dhahili kuwa mtoto huyo anakuwa ameanza kuishi maisha sawa na mnyama.
Teknolojia wanayotumia wenzetu katika nchi zinazoendelea - sisi tunashindwa nini? Unamkuta mtu (mtanzania) ana mifugo kibao lakini maisha anayoishi anazidiwa na mganda au mkenya mwenye ng'ombe wanne.
NI KWA NINI UISHI MAISHA YA MNYAMA?