Babu yangu Mzee Ismail Kisandu alipoteuliwa kuwa Waziri kwa jina feki utawala wa awamu ya tatu sikushangaa mpaka leo, na Baba yangu Mzazi Nalimi Kisandu alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya baadae...
Wadau naomba kujua nauli ya ndege za FAST JET kutoka Dar-es-salaam hadi MWANZA ni shilingi ngapi kulingana na daraja?.... halafu unachukua mda gani kupata tarehe ya safari tangu siku mtu...
Simu yenyewe ni Samsung Galaxy Note4. Nimekuwa nikiitumia nikiwa mjini, sasa nimeenda kijijini, yaani hata laini tu haisomi. nisaidieni wakuu!
Maana MUDA WOTE IMEANDIKA EMERGENCY CALLS ONLY pia...
Habari zenu,
Huu wizi wakuibia wateja wa mafuta ktk haya masheli unakera. Jana nilienda kununua petrol lita 2 cha ajabu ktk chombo inasoma lita moja na nusu. Hii ishu nimeiona huku Geita live na...
Huwa nakereka sana pindi nionapo picha kwa mfano watoto wa Shule za binafsi wakitembelea Bunge letu, sipendi kabisa sema sina uwezo wa kuwazuia
Ningefarijika sana kama Watoto wetu wa Shule za...
Ndugu habari za leo? Mimi ni mzima wa afya, naomba mnishauri nijiunge na mfuko gani wa kijamii kwa manufaa ya baadae? Ninapata mkanganyiko maana kila mmoja anavutia kwake, na hivyo nimeona nije...
Stori kuhusiana ishu ya Tajiri namba moja Afrika Aliko Dangote kutangaza kuwa yupo single na akitokea Mwanamke yupo tayari kumuoa zinaendele kushika headlines ambapo asilimia 66 ya wanaume...
Habari wanajukwaa,
Nimewaza ghafla tuu na picha yake kunijia akilini ya huyu kamishna wa jeshi la polisi wa mkoani mbeya maana sijamsikia kitambo kuzungumza kutokana na matukio yanayotokea mkoani...
Je, Tanzania inataka kufanana na Palestina? Kwa hali halisi kisiasa, haiwezi kutengeneza sura yenye kufanana na nchi hiyo.
Ndiyo. Wapalestina wamekuwa wakishuhudia wabunge wao wengi wakifungwa...
Ndugu watanzania na wale wote mnaonisapoti nawaomba kufika kwa wingi ili kushuhudia kile kitakachoendelea, najua wengi mnajua fika niko nje kwa Dhamana baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 50. Mungu...
Kuna mtoto furani hivi nilikuwa napita nae kipindi kile of course sikuwa najua kama ni wakusoma au lah maana mazingira niliyokutana nae ile siku ya kwanza ilikuwa ni ngumu kumdertermine kama ni...
Mimi ni mwalimu lakini kipindi nikiwa o-level moja ya ndoto zangu ilikuwa ni kusomea pharmacy ili nije nifungue duka langu la madawa muhimu na kuuza mwenyewe lakni ilibidi nibadili baada ya...
Ukiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna,
Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana
Habari zenu waungwana, kwa wataalam na wazoefu au ambaye amewahi kupatwa tatizo kama lililonikuta tafadhali naomba msaada wa kitaalam na kiufundi pia, ninatumia simu ya Tecno Phanto 6 Plus toka...
Binadamu Tuna mtindo wa Kuwadharau watu fulani ambao kwa Hali ya Kawaida Ni watu Muhimu na Most Dangerous katika Maisha Yetu just In a snap of A Finger anakushusha Chini.
Walinzi wa Majumbani...
Katika hali ya kushangaza Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amegoma kuingia katika kipindi kwenye Televisheni ya AZAM ambapo ilipaswa yeye pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe...
Mh waziri kwanza nikupe pole na majukumu ya ujenzi wa taifa, naomba nikueleze ukatili uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 26.5.2018 kituo cha polisi Mtera wilaya ya Mpwapwa,
Kuna Polisi walikuja...
TAARIFA RASMI: NIMEAMUA KUJIVUA UKRISTO UKATOLIKI NA UKRISTU WOTE KWA MARA YA PILI.
Niliwahi kutamka kipindi cha nyuma na leo nimeona ni vyema nirudie kauli yangu Mimi Deogratius Kisandu. Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.