Mleta mada huwezi kuwa sio mwendawazimuSimu yenyewe ni Samsung Galaxy Note4. Nimekuwa nikiitumia nikiwa mjini, sasa nimeenda kijijini, yaani hata laini tu haisomi. nisaidieni wakuu!
Maana MUDA WOTE IMEANDIKA EMERGENCY CALLS ONLY pia inaandika NO NETWORKS.
natumia laini ya voda
Wenye akili wanajua jibu lakoSiwezi Ndio
Nenda setting kisha network isome 2g utapata mawasiliano kama kawaidaSimu yenyewe ni Samsung Galaxy Note4. Nimekuwa nikiitumia nikiwa mjini, sasa nimeenda kijijini, yaani hata laini tu haisomi. nisaidieni wakuu!
Maana MUDA WOTE IMEANDIKA EMERGENCY CALLS ONLY pia inaandika NO NETWORKS.
natumia laini ya voda